Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

Dada wa kazi shepu ipo kidogo?
Hadi nimepigilia misumari mawazo yangu, nilikuwa zaidi ya sahihi🤣🤣

Hili naongea serious, mdada anayenisaidia malezi ya madogo siwezi kumgusa katu. Yule ni sehemu ya familia yangu, ingekuwa hivyo mbona zamani sanaaa...
 
Kut**mba dada wa kazi ni udhalilishaji kwa mke wa ndoa aseeeee daaaah!.

Halafu mbaya zaidi utam**ombea hapo hapo nyumbani kisha ataanza dharau kwa mke wako kwakuwa anajiona hana tofauti naye vile anashea dicck hiyo hiyo na mama mwenye nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Shimo si shimo tu wazeee au beki 3 linapindia upande😎😎😎😎
 
Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya,

Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au send-off usiku nimkule.

Yesu tusaidie wanaume.

Unajua unaweza kuharibu familia kwa tendo la dk 3 tu.

Mungu kaniponya na huu mtego wa Ibilisi.

Nimeponaje?
Nimewaza effects za tendo , Yaani nimeenda mbali mpaka kucheki maisha baada ya kumfanya huyu binti.
Sasa niko huru.

Hii ndio njia nitaitumia kuepuka kufanya ngono na mtu asiye sahihi. Nitawaza madhara na si kuwaza ladha ya zile dk 5.

Fanya hivi kijana na mwanaume ili uvuke vikwazo
Ngono ni haramu na laana kwa wasio wana ndoa
 
After i cum i come to my sense. Lil wayne aliwahi tamka hii sentensi.
 
Back
Top Bottom