Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Sasa umesamaje hapa???
 
Mbona suala la kutumia namba lilianza zamani wakati waziri WA ELIMU akiwa mheshimiwa KIGOMA ALLY MALIMA.! Au mm ndo Huwa sifuatilii Siasa za hapa MZIZIMA?
 
Mbona suala la kutumia namba lilianza zamani wakati waziri WA ELIMU akiwa mheshimiwa KIGOMA ALLY MALIMA.! Au mm ndo Huwa sifuatilii Sasa za hapa MZIZIMA?
Mkuu kulikwa na candidate number then jina la mtahiniwa , Namba ilikuja kwa sabau kuna majina yalikuwa yana fanana fanana hasa ya waislamu.

Binti wa kigogo alipoboronga mwaka uliofuata majina yakatolewa kabisa ikabaki candidate number tu, kumbuka utaratibu wa kutumia jina la mwanafunzi ndo wa siku nyingi candidate number ilikuwa ni maboresho tu kupunguza mkanganyiko wa majina.

That is why kulikuwa na number ya mtihani na jina kwenye Matokeo, ila vigogo wakaamua kuficha aibu zao maana utakuta mtoto kataga afu anapata nafasi nzuri serikalini, so wamepunguza maswali mengi watoto wao wanapopata nafasi.
 
Vipi huyo aliepata 4 leo yupo wapi.
Maisha yake na yako yanaendana
Unamiliki miradi anayomiliki dogo janja.
Una connection alizonazo dogo.

Nimekuelewa kwamba ulitaka tujue ilikuaje ikaanzishwa mfumo wa namba ila umejiuliza hayo mengine.


No hard feelings.
 
nakumbuka vizuri hili tukio.

sisi watu wa kamati ya roho mbaya tunataka kujua maisha yake ya sasa pamoja na kufeli kwake form four. vp anapitia msoto?.
 
nakumbuka vizuri hili tukio.

sisi watu wa kamati ya roho mbaya tunataka kujua maisha yake ya sasa pamoja na kufeli kwake form four. vp anapitia msoto?.
Msoto tena🤣🤣🤣🤣 hiyo kusoma tu uskute ni kama adhabu kwake.
Huenda alipelekwa Ughaibuni kutoa stress.
 
Hata mi
Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.

Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
Hats mi nashindwa kuamini hivi huyo alietoa matokeo aliendelea na kazi kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…