Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Leta za kwako amabazo ziko consistentYour logics are non consistent
Utampaje point nane kwenyw mitian amejaza utumbo, inavyoonekana hata angelepewa majibu akalili bado angepata zero.Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.
Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
Padre chiwangaPadri yupi huyo alikuwa waziri wa elimu?
Ilikuwa 2011 ndio mwaka wa mwisho matokeo kutoka na majina !!2016 sio namkumbuka vizuri tena kipindi hicho matokeo yanatoka.
Nipo form 2 naanza anza 2017 February hapo daaah skendo ilivuma from dar to chuga just imagine mazeee div 4 ya kwanza feza girls daaah ni aibu demu mwenyewe alikuwa anachukua arts si sayansi au business ila ndo hivyo sasa Mungu hawezi kupa kila kitu ila saizi anamaisha mazuri [emoji1787]
Wana haki ya kutuita mashangazi wa JF hahahhahahahahahahahahaha 😆 😆 😆 😆 😆2017 ulikua form 2
Upo sahihi kabisa chief,kulikuwa na sintofahamu Fulani kuhusiana na ubaguzi WA kidiniMtoa mada najua unamchukia Kikwete na samia bila shaka lakini usiwe muongo na mzushi.....sababu iliyopelekea kuacha kutumia majina ni kuiepuka taharuki ambayo ilianza kutokea ya watu kukimbilia kuangalia majina ya mwanafunzi na kuyahusisha na imani yake. Jambo hili lilianza kuchukua mkondo tofauti na hatimaye serikali ikaja na mbinu hiyo.
Mwenzako sasa hivi kala kitengo pamoja na kufeli kwake ila ana kazi nzuri.MWANAASHA JAKAYA KIKWETE = DIVISHENI FOO.
😂Leta za kwako amabazo ziko consistent
Sawa lakini ALIFELI SHULE.Mwenzako sasa hivi kala kitengo pamoja na kufeli kwake ila ana kazi nzuri.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kuna mpuuzi ameleta uamuzi mpya wa kutokutaja top ten ya shule zilizofanya vizuri na mwanafunzi bora kitaifa ili kuficha udhaifu mahali fulani? [/i]
Mawazo ameleta mtu mmoja Ili kuficha aibu ya nyumbani na Shule zote za kata - Tanzania.Yaani mtu mmoja alete mawazo yake ya kijinga kisha yakubaliwe na baraza kuwa ndiyo utaratibu muafaka? Hapana hii haitakubalika
Sio kweli, matukio ya mtoto huyo unayosema yakitoka baada ya namba kutumikaBack those years, huenda vijana wa Leo hamelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina siyo candidate number kama ilivyo sasa. Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.
You know what, kilichofuata ni kwamba kutaja majina ya wanafunzi ikaonekana hakuna tija watumie tu number zao. Hiyo ndo historia ya candidate number badala ya jina kwenye Matokeo ya NECTA.
Nafikiri mmenielewa.
Anataka kutuingiza chakaUpo sahihi kabisa chief,kulikuwa na sintofahamu Fulani kuhusiana na ubaguzi WA kidini
Na usikute waliadjust pengine alizunguka [emoji28]Sasa mboga saba anapataje hiyo kwenye shule ya kibabe? wangemwekea hata ya uongo bhanaa kuepuka dhahama......
Kweli kabisa hajui watu Wana mafaili toka zamaniAnataka kutuingiza chaka
unapotumia namba kutangaza matokea ya mtihani bila kuweka jina kuna uhusiano upi na kufelisha wakatii mtihani umeshasahihishwa.Sio kweli, matukio ya mtoto huyo unayosema yakitoka baada ya namba kutumika
Sasa ngoja nikwambie Kwanini namba zilianza kutumika badala ya majina
Kama ulikuwapo Tanzania miaka ya 2008,09,10 hadi 12 utakumbuka kulikuwa na vuguvugu la udini. Kuna dhehebu jipya la kiislamu Liliingia Liliingia kwa kasi na moja ya mbinu waliyotumia kupata waumini ni kuanzisha redio na kuanza kutoa mawaidha ya kusema kuwa nchi inaongozwa na mfumo Kristo.
Eti ma kanisa yamejipanga kufanya tanzania kuwa nchi ya kkrsto na Wali hakikisha wanafeslisha waislamu.
Malalamiko y alikuwa mengi ndio NECTA wakaona isiwe tabú wa kasema haya basi tutumie namba
Oya huyu dogo katupindishia sheria sana si tuliosoma nae mwaka mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]darasa la nne kurudia kulifutwa,darasa la saba kukawa kuna second selection mpaka awamu ya tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]form two kurudia kukafutwa,form four kulikua na div four mpaka 40[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huyo hapo, number 25