Kufundisha Watu Kura ya Ndiyo (Serikali), Hapana (Maaskofu,UKAWA) ni Sahihi?

wakupimwa wewe sio mzima


Mwala ukapimwe akili li baba lizima huna haya na uongo wako nina hakiaka aslimia 50 ya akili yako haifanyi kazi!unakalia kuchangia ujinga na wala hueleweki na wanaokutuma watakutapika tu.
 
mwala ukapimwe akili li baba lizima huna haya na uongo wako nina hakiaka aslimia 50 ya akili yako haifanyi kazi!unakalia kuchangia ujinga na wala hueleweki na wanaokutuma watakutapika tu.

huyo ni mentally ill kabisaaaa hajui kitu humu ndani.
 



unawasilisha ujinga na porojo za kuokota majukwaani,hakuna anayekusikilizamwewe na ----- wako huyo mwala, dingiswayo na wenzako wanaokushabikia ni wachumia tumbo na wavivu wa kufikiri,haiwezekani watu na akili zenu mkakaa mnatunga ujinga .

Mnachotaka nyie ni kuona uongo wenu unapata nguvu,nawaambia katika hilo jehanum ya moto inawasubiri nyie,na mko tayari hata kuuza nchi eti mnakifanya kutetea mishuzi na mgawanyiko wa taifa,kumbukeni amani,udugu na hali tuliyonayo sasa ni adimu sana ikipotea mtakua wa kwanza kulia kama mijusi iliyobanwa na mlango acheni kujifanya hamuelewi.
 



Hapo naona umeandika vibaya bora hata ungeweka rangi nyeusi tujue kabisa wewe ni mfuasi wa IS na kikundi cha bokoharam,

Uharamia unaofanya humu tumeushtukia na kwa taarifa yako tuna maamuzi sahihi,watanzania wanaendelea kuwapuuza kwa ujinga wenu huo.
 

 
kwa sababu ya ujinga wenu hakuna hata mmoja anayewasikiliza,kura ya katiba pendekezwa iko pale pale edit badili maandishi,rukaruka habari ndiyo hiyo na mwaka huu lazima wewe na kundi lako la mapoyoyo mzimie kwa kuendekeza ujinga wenu.
 
mbo husemi hayo mapungufu ni yepiiii

ya kwangu binafsi au kwa niaba ya kila mtu?
mimi nilitamani serikali 3, ya muungano yenye top Tanzania leaders, tunaowapenda na kuwaamini hawatavunja muungano, wakiwa na serikali ya kusimamia na kuuenzi muungano pamoja na mawaziri wa wizara za muungano. Pia kuwapo na serikali nyingine 2 moja tanganyika na ingine visiwani ambaso hazitongozwa na marais na sitakuwa na wizara zisizo na muungano tu.
nilitmani serikali ya majimbo
Nilitamani uongozi mkuu wa mkoa na wilaya uwe ni ule wa kupigiwa kura (kusiwe na mkuu wa mkoa wala wilaya)
Natamani viongozi wote wa kuteuliwa na rais majina yao yapendekezwe na bunge au yathibitishwe bungeni baada ya rais kuteua best 2-3 choices
Natamani wabunge waweze kutolewa kwenye ubunge na wananchi kwa urahisi zaidi na kuwe na ukomo wa kutumikia bungeni.
Natamani waajiriwa wote wa serikali watumie scale ya mshahara moja bila kujali ni iwa TRA au idara ya uvuvi.
natamani idara za serikali ziwezeshwe kufanya kazi kitaalamu bila kuingiza matamanio binafsi ya kiongozi mmojammoja wa kisiasa
natamani Tanzania kufanya kazi ya kujenga barabara, kuweka umeme au kutengeneza kivuko isiwe sifa ya mbunge wala rais, bali ni wajibu na inaposhindwa kufanyika ni kushindwa kuwajibika, nakwerwa sana wanaposhukuriwa na kusiwa mawaziri eti kuleta umeme kijiji fulani!!! what!!! si ndio kazi yake, kwani angepeleka scotland?

Sidhani kama kuna wengi wanaoniunga mkono lakini ndio mimi binafsi nataka hivi.
Karibu kwa kuzipinga zote
 

Ulitamani hayo lkn ndo haiwezekani ndugu.
 

kaka unaweweseseka au unaota? Tukueleweje hapo? Sasa hayo uliyatamani wewe na sio serikali ya wananchi.
 
Mwalla atakuambia 'unaumwa na ukapimwe', kweli binadam hatufanani kifikra.
 
Wewe unamaanisha kwamba katiba nisiasa tu, na haitatumika kuongoza waamini?
 
Ache ujinga katiba ni ya wote hivyo mchungaji, kafil, shahe pamoja mwenasiasa wanatakiwa kuwa na nguvu sawa wakati wa kuiandaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…