bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Ni brand name sawa na upako,misukule, bulldozer nkWapo sahihi sana.
Kiboko ya wachawi hili jina limekaa kitapeli sana na amethibitisha kwa vitendo.
Congrats kwa serikali kwa kuliona hili.
Kama zumarid.Bila shaka atakuwa haungi mkono ccm
Huyo zile Sadaka zote anazilipia VAT na wale Waumini wanapewa risiti kabisa kila wakituma muamala EFD mashine IPO standby kila mtu ananunua mafuta na maji anakatiwa risiti kutoka TRA kiufupi Jamaa anaiingizia Serikali mapato Ile Siku aliyouza Udongo pale Taifa Serikali iliingiza Pesa nyingi sana TRA kwa kupitia EFD mashine kwani kila kijiko watu walilipia na risiti za EFD walipewa kwa hio Serikali kumfungia mtu km huyu mfanyabiashara mwenye mbwinu ya kucheza na akili za wasioelewa haiwezi kamwe sababu TRA inaingiza mapato mengi kupitia yeye akipiga show tu akajaza watu laki 5 TRA wanachekelea maana Pesa inaingia nyingi
Sio kwamba inaeleweka sema ww ndo unaielewa 😂😂Hapana mwamposa hajafanya jambo lolote baya. Injili yake ni nzuri inaeleweka.
Kama wajinga wapo tele shida nini.It was just a matter of time. Kiboko ya wachawi amefanya sana usanii kwa muda mrefu. Kuna mtu wangu wa karibu aliniambia jinsi huyu jamaa anavyonunua watoa ushuhuda feki kwa lengo la kuvutia biashara yake. Mpuuzi sana huyu jamaa aisee!! Sina hamu naye.