Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

hamna alikudharau, ila kila mwanaume ana itikadi zake me binafsi simpi sikio mwanamke atanichanganya akili yangu.

Basi sawa
Huhitaji msaada wewe
 
Leo nilikuwa nasikiliza Kuhani Musa,nikasikia kuna binti anatoa ushuhuda kwamba yeye ndio amesababisha ile ajali ya juzi ya Tanga iliyoua takribani watu 20,anasema alituma mtu akamzibe dereva macho.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Leo nilikuwa nasikiliza Kuhani Musa,nikasikia kuna binti anatoa ushuhuda kwamba yeye ndio amesababisha ile ajali ya juzi ya Tanga iliyoua takribani watu 20,anasema alituma mtu akamzibe dereva macho.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app


Uchawi hauna ushahidi
Ila mafarao ni wengi sana duniani
 



Sumbawanga mtoto afufuka
ttps://youtu.be/PHUUbiYOEBY

Cancer

View attachment 2124268

Baada ya siku2
View attachment 2124312


Baada ya miezi 2

View attachment 2147561




Nimekuelewa sana. Ufufuo upo na uponyaji upo



Babu Ochu; mimi, wewe, huyo malkia wa freemason sote ni watanzania. Kila kitu kiko wazi upande wa Kuhani Musa tena vipo online hapo.

Sasa nadhani ili kuuthubitishia umma kwamba huo ni upuuzi kama unavyosema lazima uthibitishe kwamba hizo shuhuda ni za uongo. Hivi vitu havihitaji hata hasira vinahitaji tuu kuthibitishwa

Kuhusu matumizi ya biblia vifungu vya kuogofya vya ufunuo na agano la kale sioni kama vinaogofya kuliko matendo yanayofanyika na wanadamu wa leo, na wala hauna kipande cha maandiko matakatifu kisichotakiwa kutumika

Zaidi ya yote ili neno liweze kuwasaidia watu lazima lihubiriwe kwa nyakati na mazingira waliyomo na wanayoishi











Kwanini tunaongea maneno mengi ya kukataa bila kusema hayo anaayofanya yapo au hayapo?

Turudi kwenye maada, tuje na shuhuda kwamba yanayotendeka pale ni ya uongo au ni ya ukweli kwa maslahi makubwa ya umma




Umesema "Mtu akianza mara nabii, mtume au kuhani, mwulize ni nani aliyempa hicho cheo;" mimi nitakuuliza je, kina Ibrahimu, Musa, Yakobo walipewaga vyeo vyao na nani

Nimepata video ya Kuhani Musa akielezea historia yake kwa ufupi sana



Kuhusu hilo la kuandamana kwenda mortuary na kiongozi wa dini ili akafufue wafu nalo ulifikirie vizuri.
Habari za miujiza ya kufufua wafu ipo tangu enzi za manabii na Yesu Kristo mwenyewe lakini sio kila mtu anayekufa alifufuliwa

Nimesikiliza baadhi ya shuhuda za watu kufufuka sikuona popote pale ambapo amesema anataka kuwafufua; waliofikwa na hayo matukio ndio wamerudi kupaza sauti ya ufufuo





Sijawahi kusikia hilo la kuwako na kiingilio au la kutoa pesa ili watu waponywe. Labda mama kubwa na wengine hao walioshuhudia hapo juu au ndugu na jamaa zao watupatie ukweli wa hili ili tumjue Kuhani Musa zaidi







GREAT THINKERS wa Jamiiforums hivi huyu KUHANI MUSA RICHARD MWACHA ni nani haswa?
[/QUOTE]
Hapa ulikula commission, maana si Kwa promo hii.
 
Hapa ulikula commission, maana si Kwa promo hii.
[/QUOTE]


Chukua na hii







 
Mimi sitaki mama d ila huyu mtume anawadanganya waliopo gizan na watu wasiojitambua , kua gizani sio kitu kibaya sema utatapeliwa mno

Wewe wasema
 
wewe utakuwa kuhani musa mwenyewe hebu acha blah blah kutuchosha ........Mungu wa kweli ukiwa msafi na imani thabiti ukiomba muda wowote anakusaidia acheni biashara zenu hizo kuna maswali mtakuja kuulizwa after life
 
wewe utakuwa kuhani musa mwenyewe hebu acha blah blah kutuchosha ........Mungu wa kweli ukiwa msafi na imani thabiti ukiomba muda wowote anakusaidia acheni biashara zenu hizo kuna maswali mtakuja kuulizwa after life
Kuna vifungo vingine sizani kama unaweza kujifungua mwenyewe!
 
labda alikutana na yesu wa mkombo, hili ni zao la yule yesu wa mkombo ambaye Tanzania ilimfukuza, akarudi tena ikamkamata ikaenda kumtupa mpakani mwa congo. ni nabii wa uongo wa wazi na amepagawa na mashetani. imani kama hizi zilitabiriwa zitatokea sikiu za mwisho na shetan anafanya miujiza mingi kupitia wao ili kuwapotosha wale wa imani ya kweli. uyu mchaga alishawahi kusimulia kwenye tiv nakumbuka alisema alishawahi kuwa kama amechanganyikiwa na aliishi milimani akifanya maombi huko arusha/au moshi kama sikosei kwa kitambu. ni mtu tu amepagawa na mapepo na ni silaha ya shetani kuleta imani ya uongo duniani. hivi vikanisa, ukiona mtu anakuwa na mpambe pembeni akiongea mpambe anapambisha, pigia mstari, nabii wa uongo. wengine ni wale wa yule kijana mhaya mwenye tawi la nabii wa uongo wa malawi, kanavaa vikaptula kanisani na kana kiburi cha pesa baada ya kukusanya sadaka.
 
Ukina na vifungo vingi sizani kama unaweza kujifungua mwenyewe!
Mkuu mimi mseminary nimekuwa kwenye misingi hiyo ....hakuna maombi bora kama kujisafisha mwenyewe na kuomba kwa Baba wa Mbinguni ........Imani thabiti ipo ndani yako wewe mwenyewe hawa sijui nabii mara mtume au mara kuhani ......tunapoenda hatujui maana unaweza kusema huyu mlevi ameingia vipi halafu kuhani na nabii au mtume feki tunaonja joto la jiwe.....basi mitume na manabii wote enzi za agano la kale mpaka jipya wangekufa wakiwa matajiri
 
Sijasema haiwezekani lakini kuna vifungo acha tu, vipi vingine ukiomba vitu vinaachia, na sizani kama mtu utaingia kila pahala , mimi huyo kuhani hata sijui kabisa.
 
Jengo la Kanisa ni letu wote tena mnatuambia changieni Ujenzi wa nyumba ya Mungu,,, ila Mahoteli, Mashule na Hospitali ni yenu 🀣🀣🀣 sisi kama Kanisa hatupo kwenye umiliki 🀣🀣🀣 kwanini hizo Shule na Hospitali zisiingie kwenye Umiliki wa Kanisa na mapato ya huko nayo yaingie kwenye mfuko wa Kanisa na nyie mkawa mnalipwa tu kwani si mnafanya kazi ya Bwana???

Kukwepa hilo mnajiita watoa huduma ili mmilki wenyewe chochote kitakacholetwa na kondoo wa Bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnakwepa kuwa na Bodi itakayowasumbua kwenye ku-balance Makabati na kugawana njuruku...🀣🀣🀣
 
wewe utakuwa kuhani musa mwenyewe hebu acha blah blah kutuchosha ........Mungu wa kweli ukiwa msafi na imani thabiti ukiomba muda wowote anakusaidia acheni biashara zenu hizo kuna maswali mtakuja kuulizwa after life

Mimi sio Kuhani Musa, mimi ni mama D
Biashara ipi hiyo anayofanya Kuhani Musa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…