Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
hamna alikudharau, ila kila mwanaume ana itikadi zake me binafsi simpi sikio mwanamke atanichanganya akili yangu.Wanawake ni wazazi!
Kanisa ni mwanamke
Tusidharauliane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna alikudharau, ila kila mwanaume ana itikadi zake me binafsi simpi sikio mwanamke atanichanganya akili yangu.Wanawake ni wazazi!
Kanisa ni mwanamke
Tusidharauliane
Leo nilikuwa nasikiliza Kuhani Musa,nikasikia kuna binti anatoa ushuhuda kwamba yeye ndio amesababisha ile ajali ya juzi ya Tanga iliyoua takribani watu 20,anasema alituma mtu akamzibe dereva macho.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu.
Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka michache sasa.
Ukifuatilia ni muda mfupi tangu aanze huduma ila utakutana na mambo mengi sana na kati ya hayo mengi ni style ya mahubiri yake, miujiza na maajabu kwenye ibada zake na idadi kubwa ya waumini alionao ndani ya muda mfupi sana maana miaka 3 au mi4 bado huduma ni changa.
Watu wengi tunajiuliza mengi sana juu ya mtumishi huyu. Wengi wetu hatuamini kama yanayonekana kuotokea ni ya kweli lakini pia wapo wanaoamini ni kweli.
ILA SWALI MOJA LA MSINGI "KUHANI MUSA NI NANI HASWA?
Shuhuda zimetolewa hadharani, na ni shuhuda zinazodhihirisha mambo magumu kufikirika katika hali ya kawaida. Ila hawa walioshuhudia wapo kati yetu, mtaani kwetu hata majumbani kwetu, kigoma, chato, kilimanjaro, sumbawanga, kagera, Dar es salaam mmetisha sana. Wenyeji wa huko mnasemaje kuhusu Kuhani Musa?
Fred William Rwegasira.
View attachment 2123813
Mr Rwegasira ni mzaliwa wa mkoa wa Kagera, Bukoba kule, Mkazi wa Salasala - Dar es salaam. Na sasa anaishi kimara
Innocent Carol Paulo
View attachment 2123832
Innocent Carol Paulo ni mzaliwa wa Chato. Na mkazi wa Tabata - Dar es salaam
Levina Lyamuya na mdogo wake
View attachment 2123876
Levina ni mwenyeji wa Kilema, Moshi- Kilimanjaro
Malkia
Wakorinto
KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NI NANI??
Sumbawanga mtoto afufuka
ttps://youtu.be/PHUUbiYOEBY
Cancer
View attachment 2124268
Baada ya siku2
View attachment 2124312
Baada ya miezi 2
View attachment 2147561
Nimekuelewa sana. Ufufuo upo na uponyaji upo
Babu Ochu; mimi, wewe, huyo malkia wa freemason sote ni watanzania. Kila kitu kiko wazi upande wa Kuhani Musa tena vipo online hapo.
Sasa nadhani ili kuuthubitishia umma kwamba huo ni upuuzi kama unavyosema lazima uthibitishe kwamba hizo shuhuda ni za uongo. Hivi vitu havihitaji hata hasira vinahitaji tuu kuthibitishwa
Kuhusu matumizi ya biblia vifungu vya kuogofya vya ufunuo na agano la kale sioni kama vinaogofya kuliko matendo yanayofanyika na wanadamu wa leo, na wala hauna kipande cha maandiko matakatifu kisichotakiwa kutumika
Zaidi ya yote ili neno liweze kuwasaidia watu lazima lihubiriwe kwa nyakati na mazingira waliyomo na wanayoishi
Kwanini tunaongea maneno mengi ya kukataa bila kusema hayo anaayofanya yapo au hayapo?
Turudi kwenye maada, tuje na shuhuda kwamba yanayotendeka pale ni ya uongo au ni ya ukweli kwa maslahi makubwa ya umma
Umesema "Mtu akianza mara nabii, mtume au kuhani, mwulize ni nani aliyempa hicho cheo;" mimi nitakuuliza je, kina Ibrahimu, Musa, Yakobo walipewaga vyeo vyao na nani
Nimepata video ya Kuhani Musa akielezea historia yake kwa ufupi sana
Kuhusu hilo la kuandamana kwenda mortuary na kiongozi wa dini ili akafufue wafu nalo ulifikirie vizuri.
Habari za miujiza ya kufufua wafu ipo tangu enzi za manabii na Yesu Kristo mwenyewe lakini sio kila mtu anayekufa alifufuliwa
Nimesikiliza baadhi ya shuhuda za watu kufufuka sikuona popote pale ambapo amesema anataka kuwafufua; waliofikwa na hayo matukio ndio wamerudi kupaza sauti ya ufufuo
Sijawahi kusikia hilo la kuwako na kiingilio au la kutoa pesa ili watu waponywe. Labda mama kubwa na wengine hao walioshuhudia hapo juu au ndugu na jamaa zao watupatie ukweli wa hili ili tumjue Kuhani Musa zaidi
GREAT THINKERS wa Jamiiforums hivi huyu KUHANI MUSA RICHARD MWACHA ni nani haswa?
wewe utakuwa kuhani musa mwenyewe hebu acha blah blah kutuchosha ........Mungu wa kweli ukiwa msafi na imani thabiti ukiomba muda wowote anakusaidia acheni biashara zenu hizo kuna maswali mtakuja kuulizwa after lifeUnaweza kuwa sahihi kwa namna fulani na watumishi na viongozi fulani wa imani lakini fanya utafiti kuhusu mmojammoja
Katika kumfuatilia Kuhani Musa nimekutana na comments nyingi sio jf tuu hata kwenye mitandao mingine. Nimejaribu na mimi niwekewe hiyo appointment ya kuambiwa inafanywa na sadaka ili dada yangu aonane nae tangu mwaka jana August hadi leo hatujaweza kupata nafasi.
Wahusika tulioongea nao wameniambi wazi kwamba Kuhani Musa hapendi kuona mtu mmojammoja unless aone shida yako inahitaji muda zaidi ya ule wa ibada na hiyo ni mara chache sana. Tatizo watu wengi wanataka aongee nao na hawataki kuhudhuria ibada wapate mafundisho na maombi yatakayomaliza shida zao. Yaani kwa kifupi mtu hayupo tayari kutumia muda wake kuongea na Mungu kupitia miongozo ya kuhani ila wanamtaka yeye
Wanasema akisema aone watu hata watu 500 kwa siku watakua na shida ya kumuona. Lakini huo sio mpango wa Mungu maana atakosa muda wa maombi na ibada ambavyo vina matokeo makubwa zaidi kwa waumini kuliko hilo la kuona mmojammoja
Dada yangu sababu yupo Dar es salaam nimemshauri kama anadhani Kuhani Musa ana msaada basi aende ibadani kwake. Akienda akapata majibu nitawajuza
Kuna vifungo vingine sizani kama unaweza kujifungua mwenyewe!wewe utakuwa kuhani musa mwenyewe hebu acha blah blah kutuchosha ........Mungu wa kweli ukiwa msafi na imani thabiti ukiomba muda wowote anakusaidia acheni biashara zenu hizo kuna maswali mtakuja kuulizwa after life
Mkuu mimi mseminary nimekuwa kwenye misingi hiyo ....hakuna maombi bora kama kujisafisha mwenyewe na kuomba kwa Baba wa Mbinguni ........Imani thabiti ipo ndani yako wewe mwenyewe hawa sijui nabii mara mtume au mara kuhani ......tunapoenda hatujui maana unaweza kusema huyu mlevi ameingia vipi halafu kuhani na nabii au mtume feki tunaonja joto la jiwe.....basi mitume na manabii wote enzi za agano la kale mpaka jipya wangekufa wakiwa matajiriUkina na vifungo vingi sizani kama unaweza kujifungua mwenyewe!
Sijasema haiwezekani lakini kuna vifungo acha tu, vipi vingine ukiomba vitu vinaachia, na sizani kama mtu utaingia kila pahala , mimi huyo kuhani hata sijui kabisa.Mkuu mimi mseminary nimekuwa kwenye misingi hiyo ....hakuna maombi bora kama kujisafisha mwenyewe na kuomba kwa Baba wa Mbinguni ........Imani thabiti ipo ndani yako wewe mwenyewe hawa sijui nabii mara mtume au mara kuhani ......tunapoenda hatujui maana unaweza kusema huyu mlevi ameingia vipi halafu kuhani na nabii au mtume feki tunaonja joto la jiwe.....basi mitume na manabii wote enzi za agano la kale mpaka jipya wangekufa wakiwa matajiri
wewe utakuwa kuhani musa mwenyewe hebu acha blah blah kutuchosha ........Mungu wa kweli ukiwa msafi na imani thabiti ukiomba muda wowote anakusaidia acheni biashara zenu hizo kuna maswali mtakuja kuulizwa after life