Atanyolewa tu Kama lidikiteta uchwaraMama piga spana mnalilia nini si mlisema mtatumia wembe ule ule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atanyolewa tu Kama lidikiteta uchwaraMama piga spana mnalilia nini si mlisema mtatumia wembe ule ule.
Atanyolewa tu Kama lidikiteta uchwara
Sasa unalilia nini?Atanyolewa tu Kama lidikiteta uchwara
Dah ukiona wa tz wanakuwakia kwamba hutoboi ni kweli aisee [emoji3064][emoji3064][emoji3064] watu walimwambia magu hatoboi ,na kweli kilichotokea mbingu na ardhi ni shahidi.Huyu maza hatoboi
Bro umeanza sana vizuri kwenye kutoa hoja ila aya za mwisho ndio nikagundua wewe nawe ni sadist kinda person [emoji38]Hakuna kitu kama chuki dhidi ya Rais SSH eti kwa kuwa Mbowe kakamatwa. Kama ujinga wanaofanya CHADEMA ungeachwa uendelee ningesema Taasisi ya Rais ni dhaifu. Mama ana siku takriban 120 tangu amehukua uongizi wa nchi.
Nchi imepita kwenye kipindi kigumu sana cha miaka 5 chini ya Mwendazake. Ila tumeyaona ambayo Rais SSH ametenda wala sina haja ya kuyaorodhesha hapa. Lakini Mbowe na Lissu wa CHADEMA wanataka vipaumbele vyao ndivyo mama afuate na siyo vipaumbele vya Serikali yake ya CCM.
Rais kasema Katiba isubiri nipange uchumi kwanza, CHADEMA hawwtaki. Pumbavu zao!!
Sasa akiwasikiliza wao ni nani atakuwa ndiye Rais wa Tanzania?
Hawa CHADEMA mtangulizi wa SSH alikuwa amewaacha wanahangaika na makesi Mahakamani, huyu amesema haki itendeke. Na kweli tunaona akina Mdude wanatoka na na RUFAA ya akina Mbowe inakubalika. Yote haya hamridhiki??
Mbowe anaweza akawa anawatumia wanachama wake ili arudishe nguvu zake kiuchumi kwa kumuonyesha Rais SSH kuwa Chama chake ndiyo kina nguvu sana za upinzani, hivyo Rais awe anamuogopa. Kumbuka alipoteza Bilicanas na Shamba la maua. Vijana wa CHADEMA tafuteni fedha kwenye ujasiriamali achaneni na Mbowe
Utakuja kulipia haya manenoWaliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!
Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Mabavicha yaliwahi kumpenda nani huko ccm? Tuanzie hapo kwanza
Cheki huyu jamaaWaliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!
Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Mpuuzi sn huyuDah ukiona wa tz wanakuwakia kwamba hutoboi ni kweli aisee [emoji3064][emoji3064][emoji3064] watu walimwambia magu hatoboi ,na kweli kilichotokea mbingu na ardhi ni shahidi.
Pia raiaa walimwambia bro.mondi hatoboi kwenye tuzo za B.E.T ,na kweli hakufanikiwa kupita kunyakua tuzo.
Sabaya naye ni hivyo hivyo.
Kuwa rais siyo tatizo, unajua wajibu wako? Nani atawekeza kwenye li nchi lililogawanyika kama hili.Hiyo graph ipande, ipae, inyanyuke, haibadili chochote, acheni mama apige kazi !
Hajawa Rais ili apendwe na kila mtu.
Anaepaswa kulipa ni mimi au ni "Mama" ambae anakanyaga kanyaga katiba kila siku mchana kweupe bila soni wala haya usoni?Utakuja kulipia haya maneno