Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una hakika hata ya kuwepo Saa Moja ijayo?
Kodi tutalipa na katiba mpya tunataka pia.Naungana na upinzani, kudai katiba mpya, katiba iliyopo haitoshi.
Eti li Antony Diallo linalalamika kulipa kodi kisa lilirusha matangazo live kipindi cha kampeni 2015.
Katiba ya sasa inafaidisha CCM na sio watanzania.
Tunataka katiba mpya!
Tunataka katiba mpya!
Tunataka katiba mpya!
Tunataka katiba mpya!
Tunataka katiba mpya!
Tunataka katiba mpya!
Tunataka katiba mpya!
Amechafuka mapema sn tulikosea kumsifia mapemaHaiwezekani viongozi na wanachama wa ccm wanazunguka nchi nzima wanafanya mikutano ya ndani na nje lakini Wapinzani wakitaka kufanya wanaambiwa kuna Corona mikusanyiko hairuhusiwi, mambo ya ajabu kabisa yasiyokuwa na hofu ya Mungu. Double standards hizi ni dhambi kubwa sana kwa utawala huu.
Imeandikwa wapi kua baada ya uchumi kujengwa ndio madai ya katiba yafuate? Kujadili katiba ni kosa gani kisheria? Tunaendelea kupandikiza chuki ya hali ya juu ndani ya utawala huu na kamwe kufanikiwa kiuchumi. Uchumi usiokuwa na uhuru wala haki siyo uchumi na wala hauwezi kuimarika.
Tulianza vizuri na utawala huu lakini baadaye mambo yakaharibika taratibu, tunahitaji commitments za mama alizozitoa wakati anaapa kua mkuu wa nchi. Tunafutana machozi katika hali hii? Mama ameshauriwa vibaya kwa haya yanayoendelea? Au ni utashi wa mkuu wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabriel?
Kweli wamejimilikisha aseeTanganyika ni yetu sote ila Tanzania ni ya kwao
Mama anaupiga mwingi sana,sukuma gang hawana hamu kabisa.Mama piga spana mnalilia nini si mlisema mtatumia wembe ule ule.
Hawana nia njema na nchi, wanataka hayo makongamano na mikutano ya hadhara ili wapitishe mabakuli kama kawaida yaosema mama watu wanataka kumtoa kwenye mstari aliokuwa ameanza nao
Amechafuka mapema sn tulikosea kumsifia mapema
Sikafundishwa kazi na diktetaAlituzuga Mkuu hasa kwenye ile hotuba yake siku ya kuapishwa March 19.
Hakuna kitu kama chuki dhidi ya Rais SSH eti kwa kuwa Mbowe kakamatwa. Kama ujinga wanaofanya CHADEMA ungeachwa uendelee ningesema Taasisi ya Rais ni dhaifu. Mama ana siku takriban 120 tangu amehukua uongizi wa nchi.Haiwezekani viongozi na wanachama wa ccm wanazunguka nchi nzima wanafanya mikutano ya ndani na nje lakini Wapinzani wakitaka kufanya wanaambiwa kuna Corona mikusanyiko hairuhusiwi, mambo ya ajabu kabisa yasiyokuwa na hofu ya Mungu. Double standards hizi ni dhambi kubwa sana kwa utawala huu.