Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
 
😂😂😂😂😂 Chadema bhana kama watoto wa mwisho uchagani yani kudeka na kulialia tuu msiba umeisha ndo mtajua kuwa pale juu mtu akipazoea ni tofauti sana endeleeni na mapambio tu 😂😂
 
Nimepata hasira hizi tozo za mihala ya simu hadi nimechukia ccm na bunge
 
Huyu maza hatoboi
Dah ukiona wa tz wanakuwakia kwamba hutoboi ni kweli aisee [emoji3064][emoji3064][emoji3064] watu walimwambia magu hatoboi ,na kweli kilichotokea mbingu na ardhi ni shahidi.
Pia raiaa walimwambia bro.mondi hatoboi kwenye tuzo za B.E.T ,na kweli hakufanikiwa kupita kunyakua tuzo.
Sabaya naye ni hivyo hivyo.
 
Bro umeanza sana vizuri kwenye kutoa hoja ila aya za mwisho ndio nikagundua wewe nawe ni sadist kinda person [emoji38]
 
Mabavicha yaliwahi kumpenda nani huko ccm? Tuanzie hapo kwanza

Walijia Samia Suluhu Hassan ni rahisi sasa ndio wanagundua ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Mpuuzi sn huyu
 
Hiyo graph ipande, ipae, inyanyuke, haibadili chochote, acheni mama apige kazi !
Hajawa Rais ili apendwe na kila mtu.
 
Hivi ungekuwa wewe ndiyo Rais wa nchi ungefanyaje? Pale ambapo kakundi Fulani kanaamua kupingana na wewe kwa kukataa unacho shauri Bali wanataka kile tu wanachotaka wao ndiyo KIFANYIKE tena kwa amri na ubabe?

Mimi ingekuwa hali mbaya zaidi ya haya yanayotokea maana sipendi dharau kabisa wangejuta.
 
Mtaani wanasema alianza vizuri sana siku zake 100 za kwanza, wanasema nini kimemsibu mbona kapiga U-Turn ya kutisha kulikoni?
 
Utakuja kulipia haya maneno
Anaepaswa kulipa ni mimi au ni "Mama" ambae anakanyaga kanyaga katiba kila siku mchana kweupe bila soni wala haya usoni?

Unaelewa kuwa UVCCM huwa wanafanya makongamano kila siku na hakuna ambae huwa anawagusa wala kuwabughudhi?Hii ni haki?Wewe unaona kuwa hii ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…