Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

Nimeshaona huo mchezo likitokea jambo tu linatengezewa na vitweet au za insta za uongo na ukweli.

Yule Xavery sijui naye kafa maana simuoni siku hizi yeye huwa hakosekani sehemu.
Vi tweet vya kipumbavu hivo, mwingine alijitokeza baada ya Kobe Bryant kufariki na mwanae akadaibalitabiri kitambo, mungu pekee ndio muweza
 
Mbona kama hofu imekujaa? Punguza hofu.
 
Wewe ubwabwa umekuchanganya akili sana. Watu wanaongea issues za nchi wewe ni udini tu. Kwani ujapewa sinia la ubwabwa?
JAMANI MPENI UBWABWA HUYU ACHAKUWA ADDICTED NA SINIA ZA UBWABWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…