Safi.Sure๐ ๐ ๐
Kazuri mno mawaa,๐ haka nikajukuu kanguu?Nipo na pisi ya jf mwaka wa 2039 itawanyoosha nyie wazee๐,
Hii nitairithisha I'd hii ya ma mkubwa.View attachment 3701160
Ma mkubwa wangu๐,enzi hizo utakuwa hauna meno๐ถ๐ถ๐ถKazuri mno mawaa,๐ haka nikajukuu kanguu?
Weka picha yake watu waseme ni pisi kali kama unavyosema....Binti yangu ni mrembo na ni pisi kali๐ hapa tu namwona na nijivunia , kumsomesha kuwekeza kwake kitu ambacho ni bora kwake , kwa nguvu zangu zote๐คฃ
Mshana Jr mzee wa mitanange๐นMshana ni mwanangu mno
Warembo wapo wa kutosha humu Kuna kina the gworiMno bwashee ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐,anasikitika tu,unawapondea mashangazi zake.Sihani๐ ๐ niombe picha kila mtu aone, na nilivyo ma masifa sasa?๐คฃ๐คฃ๐คฃ