Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Basi wengi huwajui bwasheeMhmmm bwashee , sijawaona ๐ , labda mgeni humu๐
Mimi nanyonga halafu nina bonda , nyie mnabaki kusikia milio kama Nokia halafu hata sielewi ๐ l
Legeza๐Mimi nanyonga halafu nina bonda , nyie mnabaki kusikia milio kama Nokia halafu hata sielewi ๐
Wengi tu, mm shahidi wa hili. Ila coca mtoe hayupo kwenye hiyo jinsiaKumbe wazuri mno?๐
We kichaa๐๐๐๐๐Kumbe wazuri mno?๐
Si vizuri kusema vitu ambavyo hauna ushahidi navyo.Wengi tu, mm shahidi wa hili. Ila coca mtoe hayupo kwenye hiyo jinsia
,๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNimelegeza mno,๐ upendo tu wa mama na mtoto , unaniambia , mini acha shobo๐๐๐
๐๐๐,kikombe kishapasuka๐Halafu nyumbu ukiwalegezea wanaona wewe kiazi , hakika kikombe wanachojitahidi kuninywesha watakinywea wao kwa kipimo na kiasi cha mvinyo ambao nitawakadiria mimi๐
Daaah,majangiri tena๐Ukikuta pisi ni karee ni karee kweri kweriii
Ukikuta ni Jangirii ni jangiri kweri kweriii
Ita TANAPAAADaaah,majangiri tena๐
Coca na Bichwa komwe wao wako na jinsia inaitwa Mabibi na mabwana ๐๐๐.Wengi tu, mm shahidi wa hili. Ila coca mtoe hayupo kwenye hiyo jinsia
Wataanza na weye๐Ita TANAPAAA