OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
umekubali lakini kwa kukaza shingo. nani kakupa mamlaka ya kupangia watu umri wa kujiajiriKwa hiyo bodaboda ni biashara ya usafirishaji,Mimi nimefanya kazi ya bodaboda as mmiliki wa pikipiki, kipindi nawapa vijana chombo kwa mkataba kipindi hicho ilikuwa ni 10000 per day, anakulipa hiyo mwaka mzima, then pikipiki inakuwa yake , na nashukuru zilinisaidia sana kufungua mashamba yangu mapya ya parachichi,so sipondi bodaboda ila nakiona ni kitu kisichokuwa na future, hivyo ukiwa kijana fanya kutafta unafuu then shift kwenda kwingine, ila kwa mzee jua ni salamu kuwa kidingi kimepoteana, nazani bodaboda inabidi ifanywe ni vijana chini ya miaka 25
Tutakaroast π€£π€£Hakana maisha hako, kanajifariji tu
What if ni owner wa zaidi ya boda boda 10??Of course wazee wanaondesha daladala, malori nk kwenye umri huo ni sign ya kupoteana
Sio nimekubali nazani uwezo wako mdogo wa kuchanganua mambo ndio unaona nimekubali, nasema bodaboda ni last resort( kimbilio la mwisho kabisa ) baada ya mambo mengine kushindikanaumekubali lakini kwa kukaza shingo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hakafikii⦠mtu tarehe 22 anaanza ulizia kama msg ishaonekana.
Ila hapa sasa kanataka jifanya matawi kudharau source of income za wengine.View attachment 2230282
π€·Kwa hiyo kwa kifupi unataka kutwambia hiyo ni familia ya bodaboda
Unadhani katika competitive world hata Azam wa leo au Dewji hawezi kesho kuwa Matonya ?!!!Vijana tijifunze kuwekeza kwenye shughuli ambazo zitaleta matunda baadaye na si kuangalia leo tu.
Anashangaza sanaumekubali lakini kwa kukaza shingo. nani kakupa mamlaka ya kupangia watu umri wa kujiajiri
Kama anaenda kijiweni anapaki anasubiri abiria jua amechoka, hivi aliyekudanganya nani, pikipiki ni biashara hadi umiliki nyingi , nimewahi fanya zilikuwa nane, za mikitaba bado hazikutosha kuwa ni kitu cha kuegemea na kutegemea,What if ni owner wa zaidi ya boda boda 10??
Ameamua tu kuwekesha kwenye boda⦠unataka alale nyumbani asubiri kupoke? Ndio utaona kuwa amefanikiwa?
Dah πππSio nimekubali nazani uwezo wako mdogo wa kuchanganua mambo ndio unaona nimekubali, nasema bodaboda ni last resort( kimbilio la mwisho kabisa ) baada ya mambo mengine kushindikana
πππ sawa mkuuKama anaenda kijiweni anapaki anasubiri abiria jua amechoka, hivi aliyekudanganya nani, pikipiki ni biashara hadi umiliki nyingi , nimewahi fanya zilikuwa nane, za mikitaba bado hazikutosha kuwa ni kitu cha kuegemea na kutegemea,
Bodaboda si kama kazi nyingine.Bodaboda ni kazi kama kazi nyingine mbona huongelei walima na madaktari wazee, siajabu hako kasalari kako unakoingiza hakafikii kipato Cha huyo mzee
Hayo mambo ya akina Nyerere, hakuna usalama wa taifa lofalofa siku hizi, umlipe milioni halafu umvalishe makoti adhurule juani na bodaboda.mkubwa wengine wanakuwa hapo kwa kazi maalum
Kazi ambayo kifo kinaweza kukupata dk yoyote, kazi ambayo huna cheti nayo, kazi ambayo hata mgambo ni bosi wako utailinganisha na professional ni akili kweli!!Bodaboda si kama kazi nyingine.
Na ni ujinga kulinganisha bodaboda na ualimu au udaktari, hizi ni noble professions.
Bodaboda linganisha na Machinga na Mamantilie huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana pension yake lakiniMbona huwahurumii madaktari wazee?
Suma jkt wamesomba zote,madogo wa suma wanjisikia balaa.kazi ya ulinzi wameacha kulinda.maisha yamebadilika
hizi akili zenu zina matope ,mtu awe dereva lori zaidi ya miaka 20 halafu aache kisa ana miaka 50? Wapumbavu ndo mnachaguaga kazi halafu wana maisha ya kijinga kama huyo mleta mada anayemponda huyo mzee lakini kuna thread kafulia anaulizia mshahara kutoka.Sio nimekubali nazani uwezo wako mdogo wa kuchanganua mambo ndio unaona nimekubali, nasema bodaboda ni last resort( kimbilio la mwisho kabisa ) baada ya mambo mengine kushindikana
Inashangaza,Kazi ambayo kifo kinaweza kukupata dk yoyote, kazi ambayo huna cheti nayo, kazi ambayo hata mgambo ni bosi wako utailinganisha na professional ni akili kweli!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana nao