hata wazungu na nchi za bara la ulaya wanafanya mangapi kinyume na uhuru wa mtu uarabuni wameua waangapi,urusi China sasa leo Africa ina inuka na ni tishio wazungu wana tetemeka
amini ya kuwa hakuna demokrasia duniani ila kila mtu ana hofia kuamka kwa Africa wanajua hawato lamba kitu
africa iko very peacefully
Afrika ipi inayoinuka na inainuka kwenda wapi hivi tangu hizi nchi za afrika zipate uhuru ni nani anazizuia kuendelea Tanzania imekuwa kwenye mfumo wa chama kimoja tangia uhuru hadi 1992 tulikiwa na maendeleo gani. Mtu mzima ukianza kuongea uwongo unaleta shida katika jamii. Unasema nchi za Asia zimeendelea Kwani nchi za magharibi zenye mfumo wa vyama vingi hazijaendelea. Hivi unafaham maana ya mtu huwa huru kuwa ni pamoja na kuwa na nafasi ya kuchagua. Kwahiyo tuanze kuchagua kivuli na mtu ili tupate maendeleo.