Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,265
- Thread starter
- #61
ni kweli sikatai ila hapa ninacho lenga zaidi ni kujaribu kuangazia mfumo wa vyama vingi kwa bara la Africa ni mpango uliowekwa na wakoloni ili waendelee kutetea mfumo wao chini ya kivuli cha demokrasia wakimtumia muafrica mwenzakoVyama pinzani vina umuhimu sana, haswa kwenye kuikumbusha na kuisukuma serikali itekeleze majukumu yake...
Cc: mahondaw