Njia gani sahihi tuifuate kutokomeza utawala wa kikoloni ndani ya demokrasia za kilaghai?
hapa lazima cha kwanza wananchi na watu wote weusi duniani tuelewe ukweli wetu mtu mweusi ajaribu kujua japo asilimia 1% ya uasili wake na kwanini mpaka leo tupo hivi tulivyo huku Africa
Je ni kutokana na uongozi mbaya?
poor leadership
je ni kutokana haupati misaada na mikopo kutoka serikalini?
je ni kutokana na kutokuwa na miundombinu bora
au ni kupewa mfumo mbaya wa elimu unao aminisha vingine kwa uzao wetu?
hapo sina la kusema kila mtu awaze
ila ombi langu kwa viongozi hasa hapa Tanzania sidhani kuwa fundisha watoto kuhusu colonization in africa scramble zake sijui establishment of Portuguese nini haito saidia kabisa na kama mnaweza hebu tafuteni historia za Africa watoto wapewe historia ya heroes wa Africa tusome mambo ya misri ya kale
Leo kijana unaambiwa fishing in Japan mambo ya mwaka 2000 nchi kama Japan kila baada ya miaka mitano wanapiga hatua gani mbele sasa wewe leo kijana wako still yupo kwenye fishing in Japan mwaka 2000,sijui industrial nini in wapi huko why can't they they teach us how we fall before 1400's why can't we know what happened between 800's to 1300's why na kuficha aibu na historia miaka ambayo weusi walitamba ndio hiyo unakuta 200B.C did what and for who?
let the truth out sema 200 black built this and these 800 fall of black people inaanza nenda mpaka 1300 how they started taking over where is our origin who are we?
where did we came from we blacks?
who our ancestors? what did they do?
where is our great history as black people?
And why do you still holding our history in your libraries the securing then lying to us they're are safe place and spiritual no one needs to enter?
Huu mfumo wa historia za kikoloni unatufanya hata leo mtu wa 1970 akifika 2040 na wajukuu babu tuna omba historia na story za zamani mzee bila aibu ana anzia ukoloni kweli?
kwahiyo historia yetu inaenda kidogo kidogo tukiipoteza na itagika wakati tuna toweka na hakuna atakae jua kwamba black people existed zitabaki picha tuu kama tusipokuwa makini
hawa watu wamejipanga si kwenye vinywaji si vyakula si mafuta ya mwilini na sio kwenye habari wana hakikisha na wata hakikisha wanatumaliza kwenye madawa ndio usiongee
Africa Africa Africa! 2020 ukweli unatakiwa uujue hakuna atakae kuja kutuokoa mfumo wa elimu na historia usifundishwe mashuleni hakuna historia hata ya Tanzania maktaba? hakuna mambo mengine Africa?
leo hata uchukue mzee wa 1930's hata 1920's hana historia ya Africa yeye ni ana anzia ukoloni na good times huko they really can't hive anything kutoka kwenye chimbko letu leo hata asili tunaacha kweli?
heshima upendo na mshikamano wetu hatuna Africa?
tuta angamia tusipokuwa makini the world will never get to an end if Africa won't rise again
na ndio mwanzo wa vita utaanza kama Africa tutainuka