Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Huku ulikomalizia Ndio ulikuwa ujumbe wako
Sasa suala la passport hapo limekujaje
Una Maneno Sana wewe. Unataka kuchafua tena Hali ya hewa na ilishatulia.
 
Sasa Kwa staili hiyo nani anataka kukaa Dar kama maisha ni magumu? Watu wanakimbia Jiji nyie mnasema ni ndoto ya kuishi 🀣🀣
Dar ni sehemu ya fursa Kwa mwenye fursa ...tofauti Na hapo ni pagumu sana.....juzi nilitembelea kitambaa cheupe club moja ya usiku huko Tabata daressalam, kuna Dada mmoja anaitwa mashalove ,aisee anadhalilishwa Na njemba halafu yeye anasema eti anapiga hela..aisee Yale sio maisha
 


Dsm there's a lot of opportunities -ukifika sehemu yoyote don't direct ur eyes on only negative stuffs


Ukiwatazama loser utaogopa Sana watazame waliotoboa .
 
Wanaishi maisha ya ajabu sana hao watu wa huko ni adha tupu.
 
Inategemea na narrative ya kuhusika. Si kila kijana anataka kuishi dar
 
Huaujatembea bado sogea tokyo
Achana naye huyo bado ana nightmare kama jamaa mwingine hivi... Mi nimezungumzia Dar wao wanaleta Miji mingine ya America, na wanaamini hatujafikaπŸ˜‚πŸ˜‚... Roughly 75% of diaspora wishes to return to their original homes... If not now then after retirement.... Why they shouldn't stick to NY or where else?? πŸ˜…πŸ˜… But Some fools are here bragging themselves having exposureπŸ˜…πŸ˜… Anyway let them keep holding NY'esm..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…