Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Ni kweli
Mtu anakuomba namba lazima uulize nini sababu ya mawasiliano
Akijibu tu nataka tujuane zaidi unamuacha hapo
Namba inatolewa ikiwa ni sababu ya kazi au biashara
Hakika. Na hata kama mwanamke kavutiwa na huyo mwanaume bado hawezi tongozwa leo leo na kukubali leo leo kwanza wanaume wenyewe hawataki wanawake rahisi hivyo labda awe wa kupiga na kusepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna mwanamke anakataa mwanamke, labda psychopath. Kama unabisha, toa to sign zako, siku nitakayokulala ndo nitakukumbusha haya maneno
 
[emoji817]
 
Wee wanawame hawa hawawezi kukukataa ..watakukubali sema watakitombesha kimbususu chao kwengine which shouldnt realy be a problem maana kuchapiwa kupo pale pale
 
Masikhara haya....mbona watu mnabishana na tafiti zilizopo.
Eti hela ina play part ndogo sana kwenye mapenzi ya kweli🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…