Umeongea vyemaWakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...
Yeah ni ishu ndogo lakini imeondoa watu. Mimi nilichotaka ni kuwa fair, haiwezekani jumba bovu umuangushie mtu asiyehusika (Karia). Ni vizuri ikaeleweka kuwa TFF nao ni wateja wa huo uwanja, wanapouhitaji ni lazima waombe, na mara nyingine nyingi tu wanakataliwaFaza ishu ya generator ni ndogo sana wala sio Big deal naomba tuishie hapa kweli tumedumaa tupo busy tunajadili umeme wa Taa tuu ..
Safi.Kutokana na kujirudia kwa hali ya kukatika umeme katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ( Uwanja wa Taifa DSM) ikianza 28 Machi...
Embu tanua ubongo wako benzemah. Anamaanisha kama umeme wa grid ya taifa ni shida (una katikakatika), itakuwaje kwenye matumizi ya SGR?Kwani SGR itatumia Jenereta?
Wewe acha ujuaji,Uwanja wa serikali Karia anahususikaje?Wakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...
Hilo la kwanza, la pili ichunguzwe Wizara ya Nishati mtawalia.Wakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...
Walizima generator maana wliona rivers wanataka kuuwasha moto. Wananchi hatari🤣🤣🤣🤣Kwanini umeme ukatike muda wa mechi tu? Yanga wameloga
Tuliza mshono, yanga ilitakiwa ile mvua ya magoli toka rivers ili kubalansi aibu ya uwanja wake wa nyumbani kuzimika taa kizembe na rivers wageni waondoke roho nyeupe bila hisia mbaya ya kuhujumiwaNaomba niwakumbushe ndugu zangu kwamba Yanga imeingia nusu fainali
Mama anaupiga mwingi, kazi iendelee
Sijui huwa hawasomi hizo nakala zao kabla ya kuziachia kwa umaUwanja wa "Banjamin"
Wakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...
UMEME ULIANZA KUKATIKA ENZI ZA LECHANTE SIMBA NA AL MASRI.Kutokana na kujirudia kwa hali ya kukatika umeme katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ( Uwanja wa Taifa DSM) ikianza 28 Machi, 2023wakati wa mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...