Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Tibu kukoroma kwa kunywa mkojo wako wa asubuhi . Au wasiliana na dokta MziziMkavu kwa ushauri mahususi juu ya tatizo lako
Mkuu.@LEE VAN CLEEF Usimuamini huyu Mkuu.@georgeallen Mkojo wako sio Dawa ya kukoroma. Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma

na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.
 
mkuu nilifanya hii kitu lakini nikipiga whiskey ngoma ni palepale utadhani jenereta ya khimji
 
sijui uko dunia gani mdogo wangu
mimi ninakoroma usiku wewe unasema ninywe mkojo asubuhi na mimi silali asubuhi
kuna mmoja kaniletea PM pembeni sijui kama ndio wewe au mwenzako anasema nitafute bwabwa nimnyonye tigo nitapata dawa sasa kama wewe utanipa tigo nisubiri nikuja
Tibu kukoroma kwa kunywa mkojo wako wa asubuhi . Au wasiliana na dokta MziziMkavu kwa ushauri mahususi juu ya tatizo lako
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya kukoroma ni hii, mara uhisipo usingizi fumba mdomo na upumulie pua hadi unasinzia, na kama una matatizo ya kuugua mafua mara kwa mara yatibu yapone kabisa.
 
Nakushauri tumia juic yenye mchanganyiko wa Cement na kokoto. Unachotakiwafanya ni saga kokoto zako kiustadi zaidi kisha changanya na Cementi kisha anza kutumia kwasiku mara mbili (2)

Mkuu hili sio jukwaa la gossip!
here we r discussin sereous issues!
huu utumbo uliopost hapa co mahala pake...usitake umaarufu hakuna anaekujua
 
Nakushauri tumia juic yenye mchanganyiko wa Cement na kokoto. Unachotakiwafanya ni saga kokoto zako kiustadi zaidi kisha changanya na Cementi kisha anza kutumia kwasiku mara mbili (2)
Upumbavu wako umeuleta humu
 
Inawezekekana hujawahi kupata tatizo la kiafya ndugu yangu,huh? Vipi ukiwa unaumwa halafu akatokea mtu akakudhihaki namna hii,utajisikiaje?

Mkuu ukicheka unawapa kichwa hawa wachafuzi wa jukwaa.

Hii sio burudani ndugu yangu,bali ni disaster.Hii ndio type ya watu tulionao siku hizi kwenye jamii yetu.Wanaleta mzaha hata kwenye mambo ya msingi.Sidhani kama ndiyo dhima ya hili jukwaa,ila nahisi kuna watu hawajajua nini hasa lengo la hili jukwaa.
Mkuu inaelekea una ugeni na hili jukwaa! Humu kuna watu wana matatizo kweli na wengine ni wazinguaji (waleta mizaha) kwahiyo huyo nim-moja kati ya waleta mzaha . Ngoja nikuulize, hivii ushawahi kumuona mtu anakoroma mithiri ya trekta? Yeye kaamua kuleta maskhara kwenye matani basi wacha azinguliwe.
 
mkuu nilifanya hii kitu lakini nikipiga whiskey ngoma ni palepale utadhani jenereta ya khimji
Mkuu kunywa maji ya Betri kila uendapo kulala fanya hivyo (kunywa) kwamuda wa siku saba maramoja kwa siku. Nakumbuka dawahii niliwahi mpa mtoto wangu wa miaka 6 aliye kua akisumbuliwa na tatizo hilo.
 
Huu ni ujinga. Jamaa kaomba msaada, mtu na akili zake anamjibu utumbo kama huu. Sasa hii ni burudani ama ujinga?
Mgojwa mwenyewe ndio kashinwa kuji eleza. Amesema "nnakoroma utafikili trekta" kwa hiyo mimi kama muuguzi nikaona nimtibu kwa dawa hiyo. Sasa kama wewe ndio mama yake na mgonjwa naomba uni samehe. Ila siku nyengine umfunze mwanao kujieleza
 
Mkuu hili sio jukwaa la gossip!
here we r discussin sereous issues!
huu utumbo uliopost hapa co mahala pake...usitake umaarufu hakuna anaekujua
Naona mama yake na mgojwa umenijia maziwa wazi bila kuvaa sidiria. Mimi ni Doctor bingwa wa magonjwa ya usingizi, ila mtoto wako kashindwa kuji eleza vizuri ndio maana nikampa hiyo dawa ili asiendelee kukoroma mithili ya trekta. Sasa unanijia hapa povu lina kutoka unanuka maziwa nashindwa kukuelewa kwakweli, mnyonyeshe kwanza huyo wa mgongoni tuendelee na maongezi
 
Mimi naona tatizo sio akina Kitoabu,ila tatizo lipo kwa mods.Maana ni kama mods wanafurahia kitendo hiki.Binafsi sipendi mtu kupigwa ban,ila napenda kwenye maswala ya msingi watu wasilete mzaha.Mbona kuna majukaa kibao tu ya jokes,kwanini utani uingie hadi huku kwa wagonjwa?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inaelekea una ugeni na hili jukwaa! Humu kuna watu wana matatizo kweli na wengine ni wazinguaji (waleta mizaha) kwahiyo huyo nim-moja kati ya waleta mzaha . Ngoja nikuulize, hivii ushawahi kumuona mtu anakoroma mithiri ya trekta? Yeye kaamua kuleta maskhara kwenye matani basi wacha azinguliwe.

Ni kweli mkuu,mimi ni mgeni kwenye jukwaa la wazinguaji.
 
Nakushauri tumia juic yenye mchanganyiko wa Cement na kokoto. Unachotakiwafanya ni saga kokoto zako kiustadi zaidi kisha changanya na Cementi kisha anza kutumia kwasiku mara mbili (2)

>Akili ya kuambiwa changanya na zako.
 
Ndugu wana jf naomba mnijuze sababu zinazosababisha kukoroma na tiba yake .ndugu zangu mimi nikilala nikianza kukoroma trekta lina afadhali. Naomba msaada.

Pole sana Mkuu,ila umenkumbusha Jamaa mmoja enzi zile tuko shule tulimtunga jina la "Industry".

Suluhu:
Badili namna ya ulalaji maana wakati mwingine mlalo hupelekea kukoroma

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu hili sio jukwaa la gossip!
here we r discussin sereous issues!
huu utumbo uliopost hapa co mahala pake...usitake umaarufu hakuna anaekujua

Sema wewe Mkuu kuna watu ni kwere sana,sasa hyo tiba sijui ni ya wapi sidhan hata kijijini kwao ipo.

Ubaya wa JF hakuna entry requirements

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom