Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.@LEE VAN CLEEF Usimuamini huyu Mkuu.@georgeallen Mkojo wako sio Dawa ya kukoroma. Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyumaTibu kukoroma kwa kunywa mkojo wako wa asubuhi . Au wasiliana na dokta MziziMkavu kwa ushauri mahususi juu ya tatizo lako
mkuu nilifanya hii kitu lakini nikipiga whiskey ngoma ni palepale utadhani jenereta ya khimjiMkuu.@LEE VAN CLEEF Usimuamini huyu Mkuu.@georgeallen Mkojo wako sio Dawa ya kukoroma. Dawa ya kukoroma Fanya hivi: Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza utahisi kuna misuli nyuma
na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasa misuli hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha baada ya siku 10-20 kutegemea mtu hadi mtu.
Mkuu TIMING Acha kunywa Whiskey utapoına inshallah.mkuu nilifanya hii kitu lakini nikipiga whiskey ngoma ni palepale utadhani jenereta ya khimji
Tibu kukoroma kwa kunywa mkojo wako wa asubuhi . Au wasiliana na dokta MziziMkavu kwa ushauri mahususi juu ya tatizo lako
Nakushauri tumia juic yenye mchanganyiko wa Cement na kokoto. Unachotakiwafanya ni saga kokoto zako kiustadi zaidi kisha changanya na Cementi kisha anza kutumia kwasiku mara mbili (2)
Kweli jf inakila aina ya burudani!!
Upumbavu wako umeuleta humuNakushauri tumia juic yenye mchanganyiko wa Cement na kokoto. Unachotakiwafanya ni saga kokoto zako kiustadi zaidi kisha changanya na Cementi kisha anza kutumia kwasiku mara mbili (2)
Mkuu inaelekea una ugeni na hili jukwaa! Humu kuna watu wana matatizo kweli na wengine ni wazinguaji (waleta mizaha) kwahiyo huyo nim-moja kati ya waleta mzaha . Ngoja nikuulize, hivii ushawahi kumuona mtu anakoroma mithiri ya trekta? Yeye kaamua kuleta maskhara kwenye matani basi wacha azinguliwe.Inawezekekana hujawahi kupata tatizo la kiafya ndugu yangu,huh? Vipi ukiwa unaumwa halafu akatokea mtu akakudhihaki namna hii,utajisikiaje?
Mkuu ukicheka unawapa kichwa hawa wachafuzi wa jukwaa.
Hii sio burudani ndugu yangu,bali ni disaster.Hii ndio type ya watu tulionao siku hizi kwenye jamii yetu.Wanaleta mzaha hata kwenye mambo ya msingi.Sidhani kama ndiyo dhima ya hili jukwaa,ila nahisi kuna watu hawajajua nini hasa lengo la hili jukwaa.
Mkuu kunywa maji ya Betri kila uendapo kulala fanya hivyo (kunywa) kwamuda wa siku saba maramoja kwa siku. Nakumbuka dawahii niliwahi mpa mtoto wangu wa miaka 6 aliye kua akisumbuliwa na tatizo hilo.mkuu nilifanya hii kitu lakini nikipiga whiskey ngoma ni palepale utadhani jenereta ya khimji
Mgojwa mwenyewe ndio kashinwa kuji eleza. Amesema "nnakoroma utafikili trekta" kwa hiyo mimi kama muuguzi nikaona nimtibu kwa dawa hiyo. Sasa kama wewe ndio mama yake na mgonjwa naomba uni samehe. Ila siku nyengine umfunze mwanao kujielezaHuu ni ujinga. Jamaa kaomba msaada, mtu na akili zake anamjibu utumbo kama huu. Sasa hii ni burudani ama ujinga?
Naona mama yake na mgojwa umenijia maziwa wazi bila kuvaa sidiria. Mimi ni Doctor bingwa wa magonjwa ya usingizi, ila mtoto wako kashindwa kuji eleza vizuri ndio maana nikampa hiyo dawa ili asiendelee kukoroma mithili ya trekta. Sasa unanijia hapa povu lina kutoka unanuka maziwa nashindwa kukuelewa kwakweli, mnyonyeshe kwanza huyo wa mgongoni tuendelee na maongeziMkuu hili sio jukwaa la gossip!
here we r discussin sereous issues!
huu utumbo uliopost hapa co mahala pake...usitake umaarufu hakuna anaekujua
Upumbavu wako umeuleta humu
Mkuu inaelekea una ugeni na hili jukwaa! Humu kuna watu wana matatizo kweli na wengine ni wazinguaji (waleta mizaha) kwahiyo huyo nim-moja kati ya waleta mzaha . Ngoja nikuulize, hivii ushawahi kumuona mtu anakoroma mithiri ya trekta? Yeye kaamua kuleta maskhara kwenye matani basi wacha azinguliwe.
Nakushauri tumia juic yenye mchanganyiko wa Cement na kokoto. Unachotakiwafanya ni saga kokoto zako kiustadi zaidi kisha changanya na Cementi kisha anza kutumia kwasiku mara mbili (2)
Ndugu wana jf naomba mnijuze sababu zinazosababisha kukoroma na tiba yake .ndugu zangu mimi nikilala nikianza kukoroma trekta lina afadhali. Naomba msaada.
Mkuu hili sio jukwaa la gossip!
here we r discussin sereous issues!
huu utumbo uliopost hapa co mahala pake...usitake umaarufu hakuna anaekujua