Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Hata mimi nawafahamu wembamba wanaokoroma , tusubiri wataalamu
Kuna kautafiti nshamanyaga kuhusu hili jambo, na nilitoka na jibu kwamba, mwenye koromeo, lenye kidude kilichotoka kwa juu mwishoni,ndio hukoroma.
 
Hee yaani mtu anakoroma hadi anasikika chumba cha jirani?
Dah.... Afadhali huyo... Kuna jirani hapa anakoroma hadi magari yanapiga alarm na mbwa wanabweka usiku kucha[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sasa umezidisha khaa
 
Unapofika mda wa kulala ndipo shida inapoanza, namkera sana mke wangu kwani Mara tu napopata usingizi huwa nakoroma vibaya mno kiasi kwamba mke na mtoto wangu hawalali kabisa kwasababu yangu, hivyo ndugu zangu naombeni msaada nifanyanye ili hali hii isiendelee kutokea kwani najisikia vibaya sana.
 
Punguza mwili km ni mnene sana
 
Unapofika mda wa kulala ndipo shida inapoanza, namkera sana mke wangu kwani Mara tu napopata usingizi huwa nakoroma vibaya mno kiasi kwamba mke na mtoto wangu hawalali kabisa kwasababu yangu, hivyo ndugu zangu naombeni msaada nifanyanye ili hali hii isiendelee kutokea kwani najisikia vibaya sana.

Ukitaka msaada kwenye mitandao kama hii, usiwe mvivu wa kusoma.

Rudi post #1 Kifungu cha pili sehemu iliyoandikwa "Baadhi ya Michango ya Wanachama kuhusiana na Kukoroma.." Angalia mchango wa Mzizi mkavu utakusaidia sana.
 
Duniani binadamu tunatofautinana sana na kweli hujafa hujaumbika.Kero nyumba za kupanga haziishi, vituko haviishi! Mara kuibiana mkaa, mara kuibiana mboga, mara kuchunguliana madirishani nk!

Kukoroma nyakati mtu akiwa amelala ni tabia moja mbaya sana. Kuota usiku kwa sauti ni tabia mbaya zaidi.

Hapa Dsm, Kimara mwisho, nimepanga rooms 2 na ni self container. Jirani yangu ambaye ukuta umetutenganisha, anaota kwa sauti kubwa sana usiku mpaka anakera,huku akiwa anakoroma kwa nguvu.Kama nguruwe anakoroma. Khoroo..krooo...krooooo!

Narudi usiku toka kibaruani huwa nataka nipate mapumziko mazuri yasiyo na bughuza. Cha ajabu yaani ngumu sana kulala. Napiga tu mahesabu mwenzie anayelala nae si anaipata fresh! Kuota kwa sauti ni rahisi sana kukamatwa kama !mchepukaji mzuri. Just unarekodiwa tu usiku na kupewa clip asubuhi ukiamka!

1. Sababu za mtu kukoroma akiwa usingizini ni uzembe, kujiachia sana au nn?

2. Sababu za mtu kuota akiwa anaongea kwa sauti kubwa ni kunogewa, kuridhika sana au nn?

3. Na ukiwa unafanya hayo yote unakuwa unajijua au hujijui?

4. Nini dawa ya hii tabia?

Kama ni wewe mkoromaji naomba uounguze au uache kabisa, unanitesa sana mwenzio!
 
Madhara ya kutetea mafisadi kama Lisu hayo
mdada usijitoe ufahamu,lissu alitetea lini mafisadi mbona unaleta propaganda za siasa kila mahali,lissu alikua anashauri approach nzuri lakin mazuzu kama nyinyi mnafikiri kuongea lissu kutetea mafisadi mkijua watz ndo walewale wa 1947 kumbe sisi tunawaona mazuzu tu,kwanza sio lissu tu alisema,Kama huna hoja tuliza mpododo huo

Lissu si ndo alishauri pia mikataba ya oil na gas iletwe bungeni wajadili upya? au, huna akili wewe,ujauzito unakupeleka vby
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Suala la kitaalamu hilo ngoja nione comment za wanaojua suluhisho
 
Duniani binadamu tunatofautinana sana na kweli hujafa hujaumbika.Kero nyumba za kupanga haziishi, vituko haviishi! Mara kuibiana mkaa, mara kuibiana mboga, mara kuchunguliana madirishani nk!

Kukoroma nyakati mtu akiwa amelala ni tabia moja mbaya sana. Kuota usiku kwa sauti ni tabia mbaya zaidi.

Hapa Dsm, Kimara mwisho, nimepanga rooms 2 na ni self container. Jirani yangu ambaye ukuta umetutenganisha, anaota kwa sauti kubwa sana usiku mpaka anakera,huku akiwa anakoroma kwa nguvu.Kama nguruwe anakoroma. Khoroo..krooo...krooooo!

Narudi usiku toka kibaruani huwa nataka nipate mapumziko mazuri yasiyo na bughuza. Cha ajabu yaani ngumu sana kulala. Napiga tu mahesabu mwenzie anayelala nae si anaipata fresh! Kuota kwa sauti ni rahisi sana kukamatwa kama !mchepukaji mzuri. Just unarekodiwa tu usiku na kupewa clip asubuhi ukiamka!

1. Sababu za mtu kukoroma akiwa usingizini ni uzembe, kujiachia sana au nn?

2. Sababu za mtu kuota akiwa anaongea kwa sauti kubwa ni kunogewa, kuridhika sana au nn?

3. Na ukiwa unafanya hayo yote unakuwa unajijua au hujijui?

4. Nini dawa ya hii tabia?

Kama ni wewe mkoromaji naomba uounguze au uache kabisa, unanitesa sana mwenzio!
Soma hapa

Snoring: Tips to Help You and Your Partner Sleep Better
 
Mkuu huyo jamaa nahisi atakuwa anakoroma kuliko ngurumo ya gari aina ya FIAT ikiwa inapanda mlima.

Kabla ya kukushauri hivi hiyo nyumba unayoishi haina ceiling board?

Kwa sababu nyumba yenge ceiling board ni vigumu sana kusikia sauti ya chumba cha jirani tu.
 
Salam kwenu,
Napenda nifahamu tatizo la kukoroma ukiwa usingizini husababishwa na nini?
Ni kuanzia umri gani mtu anaweza patwa na hiyo shida?
Matibabu yake yapo vp? iwe kitaalam ama kijadi.
Usiku wa kuamkia leo nimekoroma sana,mbaya zaidi hata afya nimeona imelega mwili wote unauma na kuhisi tonses pia.
Kuna mahusiano yoyote yale?
 
Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom