gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
Hili sio kweli, nina jamaa zangu wawili wembamba balaa, ila wanakoroma sio mchezo
Hata mimi nawafahamu wembamba wanaokoroma , tusubiri wataalamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili sio kweli, nina jamaa zangu wawili wembamba balaa, ila wanakoroma sio mchezo
Kuna kautafiti nshamanyaga kuhusu hili jambo, na nilitoka na jibu kwamba, mwenye koromeo, lenye kidude kilichotoka kwa juu mwishoni,ndio hukoroma.Hata mimi nawafahamu wembamba wanaokoroma , tusubiri wataalamu
Dah.... Afadhali huyo... Kuna jirani hapa anakoroma hadi magari yanapiga alarm na mbwa wanabweka usiku kucha[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hee yaani mtu anakoroma hadi anasikika chumba cha jirani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu sasa umezidisha khaaDah.... Afadhali huyo... Kuna jirani hapa anakoroma hadi magari yanapiga alarm na mbwa wanabweka usiku kucha[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kata waya za spika zisitoe sauti.
Punguza mwili km ni mnene sanaUnapofika mda wa kulala ndipo shida inapoanza, namkera sana mke wangu kwani Mara tu napopata usingizi huwa nakoroma vibaya mno kiasi kwamba mke na mtoto wangu hawalali kabisa kwasababu yangu, hivyo ndugu zangu naombeni msaada nifanyanye ili hali hii isiendelee kutokea kwani najisikia vibaya sana.
Unapofika mda wa kulala ndipo shida inapoanza, namkera sana mke wangu kwani Mara tu napopata usingizi huwa nakoroma vibaya mno kiasi kwamba mke na mtoto wangu hawalali kabisa kwasababu yangu, hivyo ndugu zangu naombeni msaada nifanyanye ili hali hii isiendelee kutokea kwani najisikia vibaya sana.
mdada usijitoe ufahamu,lissu alitetea lini mafisadi mbona unaleta propaganda za siasa kila mahali,lissu alikua anashauri approach nzuri lakin mazuzu kama nyinyi mnafikiri kuongea lissu kutetea mafisadi mkijua watz ndo walewale wa 1947 kumbe sisi tunawaona mazuzu tu,kwanza sio lissu tu alisema,Kama huna hoja tuliza mpododo huoMadhara ya kutetea mafisadi kama Lisu hayo
Soma hapaDuniani binadamu tunatofautinana sana na kweli hujafa hujaumbika.Kero nyumba za kupanga haziishi, vituko haviishi! Mara kuibiana mkaa, mara kuibiana mboga, mara kuchunguliana madirishani nk!
Kukoroma nyakati mtu akiwa amelala ni tabia moja mbaya sana. Kuota usiku kwa sauti ni tabia mbaya zaidi.
Hapa Dsm, Kimara mwisho, nimepanga rooms 2 na ni self container. Jirani yangu ambaye ukuta umetutenganisha, anaota kwa sauti kubwa sana usiku mpaka anakera,huku akiwa anakoroma kwa nguvu.Kama nguruwe anakoroma. Khoroo..krooo...krooooo!
Narudi usiku toka kibaruani huwa nataka nipate mapumziko mazuri yasiyo na bughuza. Cha ajabu yaani ngumu sana kulala. Napiga tu mahesabu mwenzie anayelala nae si anaipata fresh! Kuota kwa sauti ni rahisi sana kukamatwa kama !mchepukaji mzuri. Just unarekodiwa tu usiku na kupewa clip asubuhi ukiamka!
1. Sababu za mtu kukoroma akiwa usingizini ni uzembe, kujiachia sana au nn?
2. Sababu za mtu kuota akiwa anaongea kwa sauti kubwa ni kunogewa, kuridhika sana au nn?
3. Na ukiwa unafanya hayo yote unakuwa unajijua au hujijui?
4. Nini dawa ya hii tabia?
Kama ni wewe mkoromaji naomba uounguze au uache kabisa, unanitesa sana mwenzio!
PoleSalam kwenu,
Napenda nifahamu tatizo la kukoroma ukiwa usingizini husababishwa na nini?
Ni kuanzia umri gani mtu anaweza patwa na hiyo shida?
Matibabu yake yapo vp? iwe kitaalam ama kijadi.
Usiku wa kuamkia leo nimekoroma sana,mbaya zaidi hata afya nimeona imelega mwili wote unauma na kuhisi tonses pia.
Kuna mahusiano yoyote yale?
Mkuu hii imenitokea jana,ngoja nione na leo kama itaendelea.Angalia uzito wako na vyakula unavyokula inawezekana unapata sleep apnea ambayo husababishwa na nyama za ziada shingoni kuziba njia ya hewa wakati umelala.