Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

Mradi azaliwe na afya njema, wakike ndiye anaeweza kukulea uzeeni.
ni kweli na mimi kama mumewe ntamshauri akuamishie kwangu, ili ulelewe vzr, ukweni

ndo ivo lazma ukubali kulelewa kwa watu, maana mwanao kawekwa ndani (kaolewa) na huna mtoto wa kiume. Ko wote na mwanao ni mali yangu mpo kwangu nimewaweka ndani nawamiliki mimi kama mumewe mwanao.
 
maisha haya, kwa hiyo kumpa mtu malazi na chakula unaona unammiliki !!..

kheri umaskini wa kipato, ila umaskini wa akili na roho huwa ni ngumu kuondoka
 
Unaweza ukapata watoto watatu mabinti na mmoja wa kiume. Yule wa kiume akaishia ulevi maisha yote asiye na future. Na mabinti wakawa ndo msaada wako kila kitu financially hadi unaingia kaburini.
Nimeandika haya maana nimeyashuhudia yanatokea.
Ushauri wangu mtoto ni mtoto tu usiwaze jinsia bali mpatie malezi mema na utavuna matunda mema kwake.
 
Tena mtoto wa kiume anaweza kuwa tegemezi kwa dada zake. Rafiki yangu mmoja ananiambia kaka yake anataka kujua ada anayolipia watoto wake kwasababu January huwa anamwambia kaka watoto wanakwenda shule siwezi kukusaidia.
 
kuna imani zinaamini watoto wakikuombea kheri wakati umefariki bhasi mizigo yako inapungua huko ulipo na wengine wanaamini katika kuendeleza majina ya ukoo. Kwa mantiki hizo mbili ukikosa mtoto wa kiume jina na kumbukumbu yako ndio imeisha maana mtoto wa kike huendeleza koo ya mtu mwingine

lakini kwa angle nyingine hizo ni hofu tu maana siamini kama humu watu wanajua lolote kuhusu baba wa babu wa babu yao hivyo, kusahaulika hakuepukiki.
Unaweza kuasili mtoto yatima na akaendeleza jina la ukoo wenu.
 
pamoja na ugangwe wangu wote, nilitoa machozi ya furaha ile siku nilipopewa taarifa kwamba shemeji/wifi yenu kanizalia salama mtoto wa kiume.

that feeling is something i can't explain, wababa wenzangu waliobahatika kupata watoto wa kiume wanajua nazungumza nini.

kwa sasa jembe langu yupo standard two halafu he is a real version of me copy and paste. mdogo wake aliyemfatia pia na yeye ni kidume, sura kama kaka yake utadhani mapacha.
Omba sana Mungu wakue wakimjua yeye maana kama ulivyolia kwa furaha ndipo utakavyolia lia kwa huzuni pindi wakiwa kama Cocastica au Jamesdeliciois. Mungu akusaidie wakuwe vyema.
 
Nikiangalia navyohangaika na home kwetu, pamoja na ndugu zangu,,sio siri naona kabisa mtoto wa kike Ni muhimu Sana kwenye familia kuliko hao wa kiume, wanawake hatubebi majina ya koo zetu ila hatusahau makwetu hasa wazazi, tofauti kabisa na wa kiume akipata familia kwao ndio hata hawafikilii kabisaa

Nikiangalia hapa nimejaza madume tu naiwaza hasara nitakayopata miaka ijayo nakosa nguvu kabisa😥,
 
Amini! Amini! Nakuambia Huna Hasara Hapo Mkuu Jipe Moyo always be optimistic.

Nikiangalia navyohangaika na home kwetu, pamoja na ndugu zangu,,sio siri naona kabisa mtoto wa kike Ni muhimu Sana kwenye familia kuliko hao wa kiume, wanawake hatubebi majina ya koo zetu ila hatusahau makwetu hasa wazazi, tofauti kabisa na wa kiume akipata familia kwao ndio hata hawafikilii kabisaa

Nikiangalia hapa nimejaza madume tu naiwaza hasara nitakayopata miaka ijayo nakosa nguvu kabisa[emoji26],
 
Nikiangalia navyohangaika na home kwetu, pamoja na ndugu zangu,,sio siri naona kabisa mtoto wa kike Ni muhimu Sana kwenye familia kuliko hao wa kiume, wanawake hatubebi majina ya koo zetu ila hatusahau makwetu hasa wazazi, tofauti kabisa na wa kiume akipata familia kwao ndio hata hawafikilii kabisaa

Nikiangalia hapa nimejaza madume tu naiwaza hasara nitakayopata miaka ijayo nakosa nguvu kabisa😥,
Huwezi pata hasara kwa kuwa una mabaharia hapo! Jiandae kuishi kistaa kama bibi Sandra
 
We si unaona nguvu anayotumia mwanae kuhudumia makoloni yake, je kejeli anazopewa za kulala na mwanae,, halafu tizama esma anavyompa faraja na ukaribu kuliko huyo wa kiume
Hahahahah kejeli lazma ila anapendwa hilo halijifichi😅. We kitachokutesa ni wivu tu wanao wakishaanza kukamata misambwanda unahisi watakutosa😂
 
Watoto Wa Kiume Wataku-support Kwa Kila Kitu Sema Tu Hutokuwa Unawaona Mara Kwa Mara.

Au Wewe Hicho Ndicho Unakitamani Kila Baada Ya Miezi/Mwaka Uwaone.

Maana Watakuhudumia Kwa Kila Hali Hata Wakiwa Mbali Vipi.

Na Ukweli Mchungu Mtoto Wa Kiume Weakness Yake Ni Mama Yake Si Baba.

Namna Ambavyo Utamjenga Awe Ndivyo Atakuwa Mama Ana Power Kubwa Sana Kwa Mwanae Wa Kiume.

Mark My Words Utakuja Nishukuru Baadae Kuhusu Hao Watoto Wa Kiume Watakavyo Kujali.
Nataka wa kike hata awe mmoja tu,, hayo ndo matamanio yangu
 
Hahahahah kejeli lazma ila anapendwa hilo halijifichi😅. We kitachokutesa ni wivu tu wanao wakishaanza kukamata misambwanda unahisi watakutosa😂
Hapana sio Hilo,, mnajua sana mnavyosahau makwenu mkianza harakati za mademu, mnajenga ukweni bonge la bangaloo ila kwa mama zenu nyumba zinavujia
 
Hapo ndo wanaume wanapozidi kufa kwa kiharusi....

Umestaafu umri miaka 60+, kwa jeuri ya kiume wanajitutumua ng'ombe hazeeki maini anaendelea kutotoa watoto.....

Halafu wanalalamika wanawake wanabebwa wakati mwanamke akifosi sana mwisho kutotoa miaka 50.

Mwanamke akistaafu anakula pensheni yake maana watoto wake wakubwa wanajitegemea sana sana atakuwa anajichangamsha na wajukuu.

Wanaume sasa, kama mzee Mchanga....

Na miaka 70+ unamtoto anatoka shule anaita baba, kesho tunatakiwa kwenda trip ya kishule mchango laki moja....!!

Kama chanzo cha mapato ni pension tuu amekwisha.

NB: Too much of anything is harmful.
Hapo pa too much of anything is harmful kwenye masuala ya kiuno hawatakuelewa.
 
Watoto Wa Kiume Wataku-support Kwa Kila Kitu Sema Tu Hutokuwa Unawaona Mara Kwa Mara.

Au Wewe Hicho Ndicho Unakitamani Kila Baada Ya Miezi/Mwaka Uwaone.

Maana Watakuhudumia Kwa Kila Hali Hata Wakiwa Mbali Vipi.

Na Ukweli Mchungu Mtoto Wa Kiume Weakness Yake Ni Mama Yake Si Baba.

Namna Ambavyo Utamjenga Awe Ndivyo Atakuwa Mama Ana Power Kubwa Sana Kwa Mwanae Wa Kiume.

Mark My Words Utakuja Nishukuru Baadae Kuhusu Hao Watoto Wa Kiume Watakavyo Kujali.
Ujumbe wako umenitoa machozi ila Bado nataka wa kike,, hata ningepata dume moja majike 4 fresh tu
 
Back
Top Bottom