Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

Ukweli Ndio Huo Mtoto Wa Kiume Kurudirudi Nyumbani Hicho Kitu Huwa Hamna.

Mtazungumza Na Shida Zote Atakutatulia Kama Ulivyomueleza Tena Anaweza Zidisha.

Mara Nyingi Wamama Huona Kama Ni Kumsumbua Mwanae Na Sometimes Huficha Baadhi Ya Mambo Anayoyahitaji.

Ila Jambo Rahisi Kwa Mtoto Wa Kiume/Kike Ni Kumhudumia Mama Yake Kwa Namna Yeyote Ile Kasoro Tu Kuwepo Mazingira Hayo Yaani Ile Yeye Ndio Kuwa Karibu Zaidi Hapana Si Hivyo.

Mtoto Wa Kike Tunawapa Pongezi Kwa Kuwa Karibu Zaidi Ya Wazazi Wao I mean Kwenye Upande Wa Namna Hii, Huwa Ni Ngumu Sana Kwao Kumaliza Mwaka Bila Kurudi Nyumbani Kusalimia Wazazi.

Au Hicho Ndicho Kipimo Cha Upendo Kutoka Kwa Mtoto?
Navyojua Mimi watoto wa kike ni faida Sana kwa baba zao, ndio huwa wanawakumbuka baba zao kama baba alikuwa nao karibu wakati wa malezi, wa kiume huwa wako karibu Sana na mama zao.

Cha muhimu ni kuwalea watoto waje wakukumbuke na kukutunza in tough times kama ukiumwa au ukiwa mzee kupita kiasi na kuwa pamoja nawe uzeeni usiwe mpweke. Lakini tukumbushane tu, zama zimebadilika kwa wale ambao mko wenye 40+ ni vizuri mkaanza kujiandaa kuja kuji support wenyewe uzeeni, Anza kufanya investment zinakazoku support uzeeni, kuwa na kwako na kuwa na kitu kitakachokuingizia kipato hata kidogo, watoto walipata uwezo waje waongezee tu, WATOTO SIO MTAJI WA BIASHARA, UKIZEEKA NDIO WAWE FAIDA YAKO, MZUNGUKO WA KIPATO UNAKUWA MGUMU KADRI SIKU ZINAVYOONGEZEKA HIVYO TUJITAHIDI TUSIJE KUWA MIZIGO KWA WATOTO WETU KWENYE MAISHA YAO.
 
Zaeni matunda mema ..zaeni yenye kheri haijalishi jinsia...tuombee vizazi vyetu
 
Watoto wa Kike ni mali yako wakiwa wadogo wakishaolewa jua hao hawako chini ya Himaya yako tema yani unaweza muita Mume wake akamwambia hakuna kwenda na asijee.. Nimeona matukio mengi yakitokea ya kifamilia watoto wa kike ushiriki wao ni kama sio wanafamilia tena sababu wameolewaa.. Hata mali zako kama huna mtoto wa Kiume bhasi jua ni urithi wa wanaume wataowao watoto zako
 
Elimunsionurithi we jamaaa. Walachia watoto Mali waziendeleze washirikoshe toka mapema Waanhalie Wahindi waarabu na hata wazungu wana family business....najua utanipiga spana Nina uzoefu
Mkuu ukitaka watoto wako wabweteke kama wa uswahilini we waoneshe nyumba ,magari viwanja n.k uone yaani hawatakuwa na bidiii ya kutafuta wata bweteka
 
Back
Top Bottom