Kweli mtoto ni mtoto na hatutakiwi kujilaumu tukikosa matamanio yetu, Ila kuwa nao wote inaleta furaha zaidi moyoni. Yani una baby boys hapo na girls hapo unajisikia raha sana, Ila mambo ya imani yanatutaka tusichague jinsia as hatuna uwezo wa kuumba.
Jaribu kufanya yafuatayo huenda ukapiga booom bingo,[emoji23] ya baby girl.
√ Angalia mzunguko wako, kutana na mume siku nne hadi mbili kabla ya kuwa peak/ovulation. Mf. Kama una mzunguko wa 28 days, ovulation inakadiriwa kuwa 14th day, kutana na mwamba siku ya 12, 11, 10, 9(usikutane nae siku ya 13 na 14). Mbegu za kiume X zina kiherehere cha kukimbia, Ila zinajifia haraka...hivyo zikielea siku mbili kabla ya wewe kuingia ovulation zitajifia na zitabakia za Y na hapo booom...baby girl.
√. Ovulation day huwa mnatoa mucus nyeupe..usimpe mwamba siku hiyo...utapata boy.
√ Missionary style ndio nzuri kwa ajili ya kutungisha mimba, ila kwa baby girl jamaa asiingize yote...isiingie yote ili mbegu zipate kuelea kwa mda mrefu Y chromo.
Jaribu halafu tutaitwa uncle hivi karibuni.