Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

Dunia duara aisee, mimi kila nikila vipi sinenepi, hata nile manyama miezi 20 kila siku siongezeki hata kila moja zaidi ya kunenepa mashavu tu...
 
Power Mabula uliwahi kumuona enzi za mwisho za uhai wake? Kisukari kilimmaliza, mtu anaekunywa chai ndoo ya Lita 10 na mikate mitano sio mchezo.
 
Huyo Ni diabates in the making.
 
Power Mabula uliwahi kumuona enzi za mwisho za uhai wake? Kisukari kili mmaliza,mtu anaekunywa chai ndio ya Lita 10 na mikate mitano sio mchezo.
Tuliachana naye baada ya vita, baadaye nikasikia alifariki bila kujua chanzo. R.I.P
 
Tule Tushibe Muda Wote Tuliambiwa Vita Vitapandisha Bidhaa Bei
 
Uwe unakula matunda mengi mpaka ushibe.
Ukipata maziwa mtindi inanoga sana.
Hata maziwa fresh pia si mbaya.
 
Faida ulizopata mpk sasa ni nini mkuu?
 
Hii sio formula yetu, formula yetu una dunda makande, masangu au gidheri hapo ndio unahisi mzigo umetulia
 
Mambo mengine tuwaachie wenyewe..

Mimi nikajaribu kuangalia movie huku nakunywa juisi, movie haijafika popote, dumu la lita 1.6 lishaisha.. [emoji23]
Nadhani hata wewe mwenyewe ulijishangaa umemalizaje.
 
Me naweza vizuri tu. tena hasa nile nanasi.
 
Umepungua!?na ni matunda gani huwa unakula
 
Hii inahitaji kuzoea na wala sio kuanza gafra, ungeanza kupunguza ugali huku ukiongeza matunda. Kidogo kidogo wala usingeona kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…