ππMimi popcorn aisee kabla giza haijaingia zimeisha zote mfuko wa mahind wa nusu kilo ni siku mbiliπππMambo mengine tuwaachie wenyewe..
Mimi nikajaribu kuangalia movie huku nakunywa juisi, movie haijafika popote, dumu la lita 1.6 lishaisha.. π
Mkuu Nitafosi kariakoo mbona ukajiita hivi mzee?Labda kama sio mimi
Hahahaha umeongeza chumvi mkuu ,mtu gani anayeweza kumaliza ndoo nzima ya ubeche? Mkungu mzima wa ndizi? Kreti nzima ya soda? Huyo siyo mtu ni JINI.Unene wa wengi husababishwa na chakula.
Yaani wanene wengi wanakula sana.
Kumdiet mtu mnene mpaka umlazimishe, hawezi kujinyima kwa hiari.
Nilikuwa na jamaa yangu anafuta ndoo nzima ya ubeche, kreti la soda, galoni la maziwa na mkungu wa ndizi peke yake na alikuwa bonge la jitu limepanda hewani hasa!
Sasa mtu kama huyo utamdanganyia viparachichi viwili alale!
Kama ulivyosema dieting ni kwa wazungu tu huko!
Nakula matunda aina yoyote ninayopata. Mfano jana nimekula embe dodo. Nikanywa na kahawa kwa karanga.Umepungua!?na ni matunda gani huwa unakula
Acha uroho wewe...Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku.
Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia nenge ya ajabu, imebidi niingie jikoni kurusha nguna tu.
Nadhani hii formula ya matunda tu usiku kwa sisi waafrika haiko applicable kabisa, tuwaachie wazungu tu.
Nishaeleza, siyo mmoja tu aliyekuwa na sifa hizo za ulaji wa kustaajaisha! , ni wengi tu enzi hizo michezo(body builders) ikithaminiwa na Taifa.Hahahaha umeongeza chumvi mkuu ,mtu gani anayeweza kumaliza ndoo nzima ya ubeche? Mkungu mzima wa ndizi? Kreti nzima ya soda? Huyo siyo mtu ni JINI.
Anachosema jamaa ni kweli, mwanzo itakuwa ngumu na itakusumbua lakini baadaye mwili utazoea na hautotaka tena kula maugali usikuSawa mkuu
Kwenye friji ukiweka juisi au soda kila saa kikoo kiawwasha washaπππMimi popcorn aisee kabla giza haijaingia zimeisha zote mfuko wa mahind wa nusu kilo ni siku mbiliπππ
Sisi sote tunaoongea humu yawezekana tuna afya njema.Kwenye friji ukiweka juisi au soda kila saa kikoo kiawwasha washaπ
Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku.
Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia nenge ya ajabu, imebidi niingie jikoni kurusha nguna tu.
Nadhani hii formula ya matunda tu usiku kwa sisi waafrika haiko applicable kabisa, tuwaachie wazungu tu.
Soma kitabu Cha sayansi ya mapishi Cha Dr Boaz mkumbo hutajuta ukiyatekeleza yaliyomoNilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku.
Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia nenge ya ajabu, imebidi niingie jikoni kurusha nguna tu.
Nadhani hii formula ya matunda tu usiku kwa sisi waafrika haiko applicable kabisa, tuwaachie wazungu tu.
Soda zinakuita njoo unywe njoo unyweπππKwenye friji ukiweka juisi au soda kila saa kikoo kiawwasha washaπ
Ila pia inategemea na shuhuri zako za kutwa, zinatumia nguvu kiasi gani.inategemea,kwa mfano leo nimepiga biriani moja matata sana mpaka sahivi sina mpango tena wa kula.ukila vizuri mchana unaweza kulalia matunda.