Wanawake wengi wakishaleta beki wanarelax na kisahahu wajibu wao. Hakuna anaenyanyaswa kingono kwani si angeripoti .
Mwanamke aliyelelewa vizuri haitaji kukumbushwa kuhusu kumpa unyumba mme wake...Vipi hapa KWENYE kutowajibika Kwa mwanamke nini maana ya ndoa ? Ndoa BILA tendo la Ndoa ? Soma Uzi tema
We mzee kila siku๐ฑMwanamke aliyelelewa vizuri haitaji kukumbushwa kuhusu kumpa unyumba mme wake...
Jambo la muhimu hakikisha unatimiza wajibu wako kwake...
Wanawake hawapendi kuachwa njiani, hakikisha unamfikisha kabla hujafika wewe..
Mwenzio pamoja na kuzeeka huku, bado Bibi yenu ananipa kila siku labda itokee Simba anacheza siku hiyo
Sio ukajua tatizo WENGI mnasoma title na kukimbilia reply.Duhh basi hapo umeeleweka! Nikajua nyinyi ilimradi tu mjilie zenu mabeki3, pole sana tafuta solution ya shida ya mkeo kabla hujatafuta mchepuko nje au kula watoto wa watu!
Huenda ana tatizo la hormones mpeleke hospitali dawa zipo, kama anatumia birth control huwa zinaleta hiyo shida! na kama ulimpiga na kitu kizito lazima apoteze hisia na wewe! Haiwezi kuwa bahati mbaya hiyo kaeni chini muyazungumze! Kuingia kwenye ndoa maana yake kukubali kutatua changamoto za kila leo! Sio kila siku ni sherehe mkuu!
Bonge la point, wanawake muwajibike sio excuse ya wewe kunyimq unyumba na kuonyesha mapenzi Kwa mumeo beki sio ndugu yako.Huwa vinakuja kwa kuzuga kama vishamba( yes kwa mjini wanakuwa na kaushamba fulani ila kijijini kalishakubuhu na kalikuwa kamcharuko cha kijiji)
Mwanzoni kana vaa viwalo chakavu vya kujifanya kaaminiwe. Kumbe kwenye shangazi kaja lake kameficha zile za nusu uchi za kijijikijiji
Kanaonekana kama katoto mwanzoni, ila kajuzi cha mambo kalishakuzwa,kanaanza kuoga na kupaka lotion, kanaanza kuachia saa sita na miguu ya kuku
Vijana wa kiume wa ndani wanaanza kujaribu, ndipo wanapojifunzia, akienda dukani mangi naye yumo, vijana wa mtaani wamo, kanaanza kunenepa, baba ya familia naye anaanza kutizama kwa jichio pande
Wengine unakuta walishaungua huko walikotoka walikuwa tuu wanazuga anaunganisha umeme nyumba nzima , halafu kanasepa kanaenda sehemu nyingine
Chukua tahadhari
Naanzaje Sasa unanishawishi baadae uje uniite mnyanyasaji hapa jf.Mimi nimekujibu kulingana na ulivyoniquote mkuu
Leo kakuudhi kweli๐
Mbake tu mkuu๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Kama ananilisha vizuri kwanini tusiende hivyo....lakini usijali hiyo ilikuwa mwaka 47We mzee kila siku๐ฑ
So kweli..๐คฃ
Umepata pa kunipigia endelea kunichapaWewe unachanganya mambo ndugu yangu, matatizo ya wewe na mkeo sio sababu ya kuwatumia kingono mabinti wa watu.
Halafu unasema kama wananyanyaswa si wangeripoti, are you serious? Wanawake wangapi wanabakwa wanashindwa kutoa taarifa? Naanza kuwa na wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.
Title iko wazi na inajadiliwa kama ilivyokuja, huenda wewe tayari una majibu yako ndio shida inapoanzia..Sio ukajua tatizo WENGI mnasoma title na kukimbilia reply.
Sahihi kabisa!WAtu WENGINE Kwa asilimia Tano wanasema Bora watoke Kwa michepuko mbali kumtunzia heshima MKE heshima inaanzia ndani ya moyo wewe ukitoka nje ya ndoa kivyovyote humweshimu mwenzio hakuna faraja.
Ndio ndioWanawake wawajibike ni ngumu kufanya pedophile Kwa beki tatu Kwa mwanaume hiyo hi ngumu labda hulka za mwanaume.
Tatizo ushawishi, ila kwa hali ya kawaida ni ngumu huyo binti kuanza kumpenda boss wake, wengi wanavutiwa na zile tamaa tu, na mwisho ataanza kutamani kumpindua ma mjengo kwa sababu umri wake unakuwa anatamani tu kuishi hayo maisha japo anakuwa hajayajua maisha vzr! Na anakuwa ana yale mapenzi ya dhati hivyo hajui kufanya kama kamchezo, mwishowe ataivuruga ndoa mpaka utatamani mngekaa tu kuyamaliza na mkeo!Hakuna unyanyasaji Kwa binti MWENYE MIAKA 18 and above, Wana UWEZO WA kukataa au HATA kutoroka mbona Mimi wanakuja sana hapa na wanakaa siku mbili mnaamka beki kakimbia mkianza kufatilia mnamkuta Kwa boyfriend je Hawa WATU hawana AKILI timamu?
Mambo sio kama hivyo unavyoyaona!Naanzaje Sasa unanishawishi baadae uje uniite mnyanyasaji hapa jf.
Nataka uwe tayari muda unaofa na usiofaa kwani mwanamke Huwa anachoka nini ? KWENYE mzagamuo maana HATA miguu tumainua sisis wenyewe na kisukuma alafu anakuangalia tukama mdoli
Title ilieditiwa na modi na ndio wameharibu Uzi.Title iko wazi na inajadiliwa kama ilivyokuja, huenda wewe tayari una majibu yako ndio shida inapoanzia..
Sahihi kabisa!
Ndio ndio
Tatizo ushawishi, ila kwa hali ya kawaida ni ngumu huyo binti kuanza kumpenda boss wake, wengi wanavutiwa na zile tamaa tu, na mwisho ataanza kutamani kumpindua ma mjengo kwa sababu umri wake unakuwa anatamani tu kuishi hayo maisha japo anakuwa hajayajua maisha vzr! Na anakuwa ana yale mapenzi ya dhati hivyo hajui kufanya kama kamchezo, mwishowe ataivuruga ndoa mpaka utatamani mngekaa tu kuyamaliza na mkeo!
Tofauti ha hapo achana naye tafuta mke mwingine!!
Kulala na msaidizi wa ndani ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume, unajishusha na kuidhalilisha familia.Bonge la point, wanawake muwajibike sio excuse ya wewe kunyimq unyumba na kuonyesha mapenzi Kwa mumeo beki sio ndugu yako.
Nakushauri mtoe mkeo umpe huyo beki 3 hiyo nafasi ya mke halafu ulete mrejesho hapa! Ndio utajua wanajitambua au la!Title ilieditiwa na modi na ndio wameharibu Uzi.
Hapa mwisho umeenda vyema LAKINI nashangaa iweje mwanaume TU awe attacked sasabu inafahamikanmshawishi ni mwanaume LAKINI si oakaubali mbona mwanaume akibaka binti WA kazi infahamika?
So beki WENGI wanajua wake za maboss ni wazembe wao uchangamkia fursa.
So utamuattack vipi MTU aliekuweka ndani kwale ngo la ndoa alafu hufanyi wajibu wako MANAKE umeleta MTU WA kujisaidia wajibu wako. Kwahiyo wanawake WANAOTAKA wajakazinwajifunze limit mwanaume sio mwanamke tuzalisha mbegu mamimilioni Kila saa na ndio zinazotekenya na kuleta nyege Sasa wewe unamkqtia umeme mmeo bila SABABU.
Narudia beki WENGI wanajitambua mfano huyo WA KWENYE Uzi ni kama TU wqnazidia MIAKA 51 na MKE WA jamaa
Inasikitisha sana aisee na kwa hali ilivyo wa kuwatetea hata hamna na pia ni ngumu sababu sidhani kama wenyewe wanakuwa na akili ya kujua kwa hili nikosa napaswa kwenda kulisema sehemu fulani.Wasichana wa watu wanakuja kufanyakazi kujikwamua labda na kusaidia familia lakini huu ndio unyama wanaokutana nao kutoka kwa wanaume wasio na roho ya utu. Na vile wamefungiwa majumbani na hawana elimu nani atawatetea?
Kwa nnavyomjua mke wangu atamfukuza kabla hata sijarudi off ๐๐๐Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.๐
Wakishiba vizuri pork chops wanatakaga wenyewe, sisi ni nani hata tubisheNa vile wana shida basi wanakuwa hawana namna.
Haisaidii mnawaonea sana hawa wadada unakuta manywele yamesasambuka kama wacheza mang'oma, na hapo ndo sisi watetezi tunawapa hela wakasuke kwa huruma na wao wanatupa kama ahsante ๐ค ๐ค ๐ค , so it's a win win situationmie huwa nasema kama Msaidizi akiwa kitu kimoja na Mama mwenye nyumba na wakawa wanaishi vizuri kabisa na kuwa kitu kimoja hii itasaidia
Hii kitaalam imekuaje? Si ni Bora msaidizi akusaidie kuliko Corner za nje huko๐ซชMle beki tatu at your own risk Niko tayari kuvunja ndoa sababu ya beki tatu kuliko michepuko yako 15 ya huko mbali!
Kama baba wa mataifa kala beki tatu sisi uzao wake tufanyeje sasaKama Mwanaume hauta jiheshimu, unaweza kuitumbukiza ndoa yako kwenye migogoro kisa Dada wa kazi
Ndoa ya Mtume Ibrahimu na mkewe Sara iliingia kwenye migogoro baada ya Ibrahimu kuzaa na Dada wa kazi (Wa kuitwa Hajiri) mtoto wao wa kwanza Ishmaeli (Kitabu cha Mwanzo 16)
Tujitahidi kuzishinda tamaa zetu kwa kuwaheshimu mabinti wa kazi, tuwatunze na kuwalea kama watoto zetu wa kuwazaa
Ndiyo haitakiwi hiyo Mkuu, ridhika na mkeo ama uende ukadinye nje huko lakini sio kudinya beki tatu wakoKama baba wa mataifa kala beki tatu sisi uzao wake tufanyeje sasa
Mwanzo 16