Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Ndo atachangamka sasa asishindwe pambanoNdiyo haitakiwi hiyo Mkuu, ridhika na mkeo ama uende ukadinye nje huko lakini sio kudinya beki tatu wako
Kwanza utafanya mkeo adharaulike sana kwa Dada yenu wa kazi
Usifanye hivyo kwa mkeo, kumbuka kuna Uzee Mkuu, jifunzeni kwasisi Babu zenu tunavyolipa makosa yetu ya UjananiNdo atachangamka sasa asishindwe pambano
Ni mshenzi kweli kweli kama kaweza kumtamani binti WA kazi mnayeishi nae hapo ndani kama mwanafamilia,atashindwa nini kutamani ndugu zako?Mtu huyo ni hatari hata kupita na watoto wenu ni jambo jepesi kwake! Maana atamla muda umelala chumbani kwako๐ฑ
Mara elfu hizo corner za nje kuliko binti mnayeishi nae kama sehemu ya familia!!Hii kitaalam imekuaje? Si ni Bora msaidizi akusaidie kuliko Corner za nje huko๐ซช
๐๐๐๐๐ hawezi kuvumilia anajua utasopeka tu.Kwa nnavyomjua mke wangu atamfukuza kabla hata sijarudi off ๐๐๐
Huu ni upumbavu kuweka picha ya mtu na mtoto pia katika mitandao. Si sawa. Huyo mtoto unamwingilia privacy yake pamoja na huyo dada wa watu. Kuna sehemu extro huwa unaandika vitu vya sense kiasi flani leo hiki ulichofanya ni kama kuna mtu hana akili ameshika simu yako.
Duuh! Mkuu hivyo we ndo una jukumu la kuleta dada home kwako?
Hilo ndio umeliona tatizo sana, vipi kuhusu wake zenu wanaoinamishwa na kina Baltazar Engonga wakiwa makazini? Is there any difference?Wasichana wa watu wanakuja kufanyakazi kujikwamua labda na kusaidia familia lakini huu ndio unyama wanaokutana nao kutoka kwa wanaume wasio na roho ya utu. Na vile wamefungiwa majumbani na hawana elimu nani atawatetea?
Easier said than done!Sikia nikwambie ogaboy, mwanaume kuhudumiwa sio sababu ya kutocheat au kulala hovyo na wanawake wengine, wanume mna tamaa kama mtashindwa kudhibiti tamaa zenu wenyewe kw akigezo cha kutembea na mabinti wenu wa kazi kw akisingizo hujahudumiwa vizuri hilo ni tatizo lako! Chunguza vizuri utaona nintamaa tu ya mwanaume mwenyewe wala sio issue ya kunyimwa kitu! Ukimuoneaha upendo mkeo vzr hatokaa akakunyima mambo madogo hayo!
Kwahiyo una uhakika ukipewa mzigo daily hautacheat?Easier said than done!
Wanaume wengi wanachepuka sababu hawapewi stahiki zao kwa uhuru ila masimango na migao kama maji ya Dawasco ni vile tu wengi wameumbwa na koromeo.
Huduma ikiwa ya mgao kama maji leo yanatoka kisha kimya kutoka tena ni baada ya wiki mbili hapo lazma mtaishia kulaumiana. Hii scenario ipo kwenye ndoa nyingi zaweza fikia hata 70%
Hilo ndio umeliona tatizo sana, vipi kuhusu wake zenu wanaoinamishwa na kina Baltazar Engonga wakiwa makazini? Is there any difference?
Kuna watu huwa wanatatua matatizo kwa kuongeza matatizo mengine!Two wrongs don't make a right
Uandishi wako, na akili yako ni kama beki tatu pia. Wewe utaolewa lini? Maana sasa unakaa sana kwa bro wako kuna siku akikosa kwa mkewe atakuja na kwako. Fanya jitihada ukaoelewe siyo kutaka nawe ukasagane na beki tatu. Olewa uwe huru.Wewe *****, mi nishatoka levo ya Kuwaza kuoa, na Nina watoto na MKE safi, we komaa.
Simba hali nyama ya aina moja leo swala kesho pundamilia hata nyoka akikatiza analiwa tuu ๐คKwahiyo una uhakika ukipewa mzigo daily hautacheat?
Basi msituchoshe! Mkinyimwa muwe wapole tu๐Simba hali nyama ya aina moja leo swala kesho pundamilia hata nyoka akikatiza analiwa tuu ๐ค
Tutawachosha tuu mpaka mtupe staili za popo kanyea mbinguBasi msituchoshe! Mkinyimwa muwe wapole tu๐
Na uzee huu nikavunjike kiuno kisa?Tutawachosha tuu mpaka mtupe staili za popo kanyea mbingu
Na hapo ndo plan b inapokuja, hawanaga baya wale wasaidizi unakakunja vizurii posho ni hela ya kusukiaNa uzee huu nikavunjike kiuno kisa?
Mtu anatolewa jasho la ulimi kwa ef30?๐๐ฝโโ๏ธNa hapo ndo plan b inapokuja, hawanaga baya wale wasaidizi unakakunja vizurii posho ni hela ya kusukia