Wa Magufuli naona ulikuwa na uafadhali maana nakumbuka hata helikopita ilikuwa ni moja ila huu wa mama una helikopita zaidi ya mbili.Kuna tishio gani Tanzania hadi kuwe na ule Ulinzi?? Kipindi cha Jakaya akiwa President uliwahi ona msafara wake ukiwa kama huu wa Magu au Samiya??
Nakujibu kiufupi ,,,raisi ana kikosi cha ulinzi cha idara ya usalama WA Taifa ......wao ndo wanajua aishi vipHiki kikosi kumbe ni maalamu kipo chini ya Mh. Rais ama wapi? Maana katika kumbukumbu zangu sijawahi ona combat za namna ile hata vimo vyao ni tofouti na hawa askari wetu wa kawaida ama ni kikosi maalamu ambacho hata ajira zao zinakuwa za siri tofouti na majeshi yetu na basement yao itakuwa wapi?
Mh! Kwani per diem siyo posho?Braz watu wanatafuta posho na per diemu
Jeshi linalomlinda samia ndilo jeshi lililomlinda JK. PsUKuna tishio gani Tanzania hadi kuwe na ule Ulinzi?? Kipindi cha Jakaya akiwa President uliwahi ona msafara wake ukiwa kama huu wa Magu au Samiya??
Hapa sasa umenikaribisha kwenye hadithi za vijiweni. Leta story maisha yaendelee.Una habari kama Jakaya ndiyo alikua anapata attempt nyingi sana?? Gari ya Jakaya aliyokua kapanda iliwahi chomoka tairi,sema ilikua ndiyo imefika eneo la tukio!
Gari aliyokua kapanda Jakaya,iliwahi kataa kuchange gear,hadi wakamshusha akapanda gari nyingine,tena hii ilikua Mbezi kama sijakosea!
Jakaya akiwa Bunda au Tarime,kuna askari mmoja aliupoteza msafara wa Jakaya! Je baada ya hizo mishe uliona wapi msafara wake ukiwa na heavy and tights security??
Asante kwa maelezo mazuri bossSwali uliloliuliza ni la msingi na Kwa bahati mbaya hatuezi kujibiwa ,wakiamua kufanya hivyo wao ndo wanajua ,,,,1,sababu 2.ilikuwaje 3 ,nini kifanyike 4.na lini kifanyike ,5 Kwa nini kifanyike......Kiufupi nchi inafanyiwa tathimini na idara ya usalama WA Taifa Kwa hyoo. Kimsingi tuwaamini tuuu
Ni sahihi. Yeye ni mwanasiasa na kiongozi, hawezi jipangia ulinzi wake mwenyewe uweje. Kuna wataalam. Ni sawa na kusema daktari ajifanyie operation, haiwezekani.Kwa hiyo wakiamua kupunguza huo ulinzi kwake pia ni sawa?
Huwa wanasema kauli ya Rais ni amri ikitokea akisema haitaji ulinzi mkubwa kama huu wa leo je? hao wanaopanga ulinzi watakubaliana nae ama watakataa?Raisi wa nchi hajipangii ulinzi. Nchi ina taratibu zake za kumlinda kiongozi wake.
Kauli ya raisi ni amri anapotoa maagizo ya kisiasa na kiutawala yanayohusu nchi na si ulinzi wake au afya yake. Kama ilivyo kwa kauli ya daktari kwa mgonjwa wake, daktari hawezi agiza manesi wamletee visu ili ajifanyie operation.Huwa wanasema kauli ya Rais ni amri ikitokea akisema haitaji ulinzi mkubwa kama huu wa leo je? hao wanaopanga ulinzi watakubaliana nae ama watakataa?
Mimi siyo mtukanaji, siwezi changia hoja kwa kumtukana mtu, nikiona havipandi naepukana naye period.Kwa hiyo wewe hukujua kwamba kutukana kuna kubanikwa?? Kuna ID nyingine!
Hii ilikuwa zaidi ya hatari hao waliokuwepo walisalia katika nafasi zao ama walivuliwa wote maana kupoteza msafari si tukio dogo hata kidogo?Una habari kama Jakaya ndiyo alikua anapata attempt nyingi sana?? Gari ya Jakaya aliyokua kapanda iliwahi chomoka tairi,sema ilikua ndiyo imefika eneo la tukio!
Gari aliyokua kapanda Jakaya,iliwahi kataa kuchange gear,hadi wakamshusha akapanda gari nyingine,tena hii ilikua Mbezi kama sijakosea!
Jakaya akiwa Bunda au Tarime,kuna askari mmoja aliupoteza msafara wa Jakaya! Je baada ya hizo mishe uliona wapi msafara wake ukiwa na heavy and tights security??
Halafu ikawaje baada ya risasi sasa? Mm hayo sijui ndo nakusikiliza hapa. Leta story mwana.Huwezi jua! Fuatilia ndiyo utajua! Na huyo askari alijipiga risasi,sasa elewa alijipigaje risasi akiwa ndani ya mahabusu, sijui mahabusu hua wanaruhusiwa kuingia na bunduki ndani!!