green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Wao si walinzi wa mtu mmoja tu sasa swala msafara mrefu watalijibu vpHili swali linawahusu TISS, na kwa bahati mbaya hawawezi kukujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao si walinzi wa mtu mmoja tu sasa swala msafara mrefu watalijibu vpHili swali linawahusu TISS, na kwa bahati mbaya hawawezi kukujibu
Hili swali linawahusu TISS, na kwa bahati mbaya hawawezi kukujibu
Bank unayoweka fedha watoto na mke na marafiki hata wageni si wanaweza ifahamu mpaka hata account namba?Mbona kambi za jeshi zinajulikana zilipo, kuna kitu gani cha ziada kwenye hiki kikosi cha ulinzi wa raisi?
Sawa sawa OfisaBank unayoweka fedha watoto na mke na marafiki hata wageni si wanaweza ifahamu mpaka hata account namba?
Ila Pale nyumbani kwako wageni na marafiki achilia mbali watoto na mke wanafahamu ukiwa na fedha unazificha wapi?
View attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
Umenibatiza jina sio.Sawa sawa Ofisa
Viongozi wa Afrika tabu sana,wanajifanya viongozi wa wananchi lakini walindwa na mamitutu utafikiri wapo Kandahar au somaliaView attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
Mbona unakazana kuwa nabisha? Mm nakusikiliza unasema nakubishia. Nimekuuliza kwa hiyo ikawaje sasa gia ilipogoma kuingia?Hivi inakuwaje gari ya rais inachomoka tairi?
Mbona uchumi wa nchi haufanyiwi ukaguzi kuna mkono wa mtu hapo? hahaha, nimecheka sana.... kweli mamabo mengine utayaona TZ tu! hahahawww.jamiiforums.com
Endelea kubisha! Nikupe ushaidi gani tena mwingine
Sawa sawa OfisaMzee wewe komaa na maisha yako! Hata kama msafarq wake ungekuwa na baiskeli mbili na yeye akabebwa na guta isingebadili chochote!
Kama ni upigaji wa posho unapigwa kwingineo huko na ndipo kwenye uozo!
Waache vijana wa neemeke maadam hamna usabaya hapo, huwezi badili kitu!
Ungekuwa kwenye system usingeleta huu uzi!
Ambulance 2!!!!!!!!!![emoji603][emoji603] nahisi kuna kitu hakija kaa sawaNi noma mkuu,nilihesabu magari,yalikua zaidi ya 50! Siku hizi ana ambulance mbili kwenye msafara wake!
Kwann unasema nawajua?Unawajua sana hawa watu ndio maana nikahisi huwenda ukawa miongoni mwao
afu hao wa suti nyeusi mbona wananenepa sana, kazi kufuga vitambi tuu, sasa hao wanaweza hata kukimbia au kukimbizana na gaidi mvamizi au hata kurusha ngumi au teke?View attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
Ndio nilikuwa nauliza hapa hakuna rotation baina ya walinzi wa raisi maana kuna watu wamekuwa wanene kama huyo dada wa nyuma hapo kawa na kitambi kabisa ilihali ni jinsia KE kuna wanaume pia hapo wamenenepa sana.afu hao wa suti nyeusi mbona wananenepa sana, kazi kufuga vitambi tuu, sasa hao wanaweza hata kukimbia au kukimbizana na gaidi mvamizi au hata kurusha ngumi au teke?
Ndo huwa wanaruhusiwa kufuga vitambi hivi na kunenepeana namna hii? hapo kutakuwa tena na ufanisi wa kazi kutokana na kazi wazifanyazo?
Hapa inaleta mantiki kidogo kwa ninavyo watambua watanzania sidhani kama wana uthubutu wa kumshambulia kiongozi yoyote mkubwa, huwenda hawa wanajiongeza ili kupiga pesa. Asante kwa maelezo yako boss
yani hapo hata mtoto mdogo anaweza kuwatoa kijasho, sio kwa unene huo. Hapo hakuna mlinzi hapo ni makasha tuu. Mlinzi gani wa rais ananenepeana kizembe hivo kuliko rais wake.Ndio nilikuwa nauliza hapa hakuna rotation baina ya walinzi wa raisi maana kuna watu wamekuwa wanene kama huyo dada wa nyuma hapo kawa na kitambi kabisa ilihali ni jinsia KE kuna wanaume pis hapo wamenenepa sana.
Hawaruhusiwi kufanya rotation atleast hawa waliopo hapo warudi kambini kwao hapo oysterbay waanze na mchakamchaka kukata mafuta ya vitambi, watia aibu sana sifa ya walinzi ni kuwa wakakamavu ila hawa tangu waanze kushinda ikulu wanakula tu kuku na mapochopocho mengine pasipo kukumbuka miiko ya kazi ya kuwataka kutokunenepa hovyo.
Tunataka Rais wetu alindwe ,wewe unataka kumfanya nini? Mnataka kumdhuru Ili asigombee Urais?View attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.