Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Mbona kambi za jeshi zinajulikana zilipo, kuna kitu gani cha ziada kwenye hiki kikosi cha ulinzi wa raisi?
Bank unayoweka fedha watoto na mke na marafiki hata wageni si wanaweza ifahamu mpaka hata account namba?

Ila Pale nyumbani kwako wageni na marafiki achilia mbali watoto na mke wanafahamu ukiwa na fedha unazificha wapi?
 
Sawa sawa Ofisa
 
View attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.

Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.

Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?

Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?

Tujadili.

Mzee wewe komaa na maisha yako! Hata kama msafarq wake ungekuwa na baiskeli mbili na yeye akabebwa na guta isingebadili chochote!
Kama ni upigaji wa posho unapigwa kwingineo huko na ndipo kwenye uozo!
Waache vijana wa neemeke maadam hamna usabaya hapo, huwezi badili kitu!
Ungekuwa kwenye system usingeleta huu uzi!
 
Viongozi wa Afrika tabu sana,wanajifanya viongozi wa wananchi lakini walindwa na mamitutu utafikiri wapo Kandahar au somalia
 
Endelea kubisha! Nikupe ushaidi gani tena mwingine
Mbona unakazana kuwa nabisha? Mm nakusikiliza unasema nakubishia. Nimekuuliza kwa hiyo ikawaje sasa gia ilipogoma kuingia?
 
Mzee wewe komaa na maisha yako! Hata kama msafarq wake ungekuwa na baiskeli mbili na yeye akabebwa na guta isingebadili chochote!
Kama ni upigaji wa posho unapigwa kwingineo huko na ndipo kwenye uozo!
Waache vijana wa neemeke maadam hamna usabaya hapo, huwezi badili kitu!
Ungekuwa kwenye system usingeleta huu uzi!
Sawa sawa Ofisa
 
View attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.

Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.

Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?

Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?

Tujadili.
afu hao wa suti nyeusi mbona wananenepa sana, kazi kufuga vitambi tuu, sasa hao wanaweza hata kukimbia au kukimbizana na gaidi mvamizi au hata kurusha ngumi au teke?

Ndo huwa wanaruhusiwa kufuga vitambi hivi na kunenepeana namna hii? hapo kutakuwa tena na ufanisi wa kazi kutokana na kazi wazifanyazo?
 
Ndio nilikuwa nauliza hapa hakuna rotation baina ya walinzi wa raisi maana kuna watu wamekuwa wanene kama huyo dada wa nyuma hapo kawa na kitambi kabisa ilihali ni jinsia KE kuna wanaume pia hapo wamenenepa sana.

Je? Ni kwamba hawaruhusiwi kufanya rotation atleast hawa waliopo hapo warudi kambini kwao hapo oysterbay waanze na mchakamchaka kukata mafuta ya vitambi, wanatia aibu sana sifa ya walinzi ni kuwa wakakamavu ila hawa tangu waanze kushinda ikulu wanakula tu kuku na mapochopocho mengine pasipo kukumbuka miiko ya kazi ya kuwataka kutokunenepa hovyo.
 
Hapa inaleta mantiki kidogo kwa ninavyo watambua watanzania sidhani kama wana uthubutu wa kumshambulia kiongozi yoyote mkubwa, huwenda hawa wanajiongeza ili kupiga pesa. Asante kwa maelezo yako boss

kale ugali ulale,kama ulidhani kapunguza ili amkomoe magufuli ulikuwa una njaa.
 
Kwenye suala la Ulinzi Kwa kweli Sina ninachojua kwamba unapaswa uweje lakini hebu tuwe tutizame kiuhalisia ukubwa wa msafara.

Mfano alikuwa Arusha hivyo unategemea RC ,RAS Na waandamizi wake wote ktk idara zote wapo ktk msafara.

Ngazi ya wilaya DC, DAS, DED, Wakuu wa idara Kwa ngazi za Halmashauri wote Wapo .

Wabunge, wenyeviti Halmashauri au Mayor.
Vyombo vya Ulinzi Kama Kama RPC nk
.Viongoz wa chama kimkoa na kiwilaya
Viongoz wa dini na taasisi binafsi.

Hao Woote kila mtu anatumia gari lake,sasa ukijumlisha na magari yanayohusika moja Kwa moja na Msafara wa Rais kupata gari 50+ ni jambo jepesi Sana.
Sasa Labda Kama tunataka wengine wawe wanatumia ungo hapo Sawa.
 
Ndio nilikuwa nauliza hapa hakuna rotation baina ya walinzi wa raisi maana kuna watu wamekuwa wanene kama huyo dada wa nyuma hapo kawa na kitambi kabisa ilihali ni jinsia KE kuna wanaume pis hapo wamenenepa sana.

Hawaruhusiwi kufanya rotation atleast hawa waliopo hapo warudi kambini kwao hapo oysterbay waanze na mchakamchaka kukata mafuta ya vitambi, watia aibu sana sifa ya walinzi ni kuwa wakakamavu ila hawa tangu waanze kushinda ikulu wanakula tu kuku na mapochopocho mengine pasipo kukumbuka miiko ya kazi ya kuwataka kutokunenepa hovyo.
yani hapo hata mtoto mdogo anaweza kuwatoa kijasho, sio kwa unene huo. Hapo hakuna mlinzi hapo ni makasha tuu. Mlinzi gani wa rais ananenepeana kizembe hivo kuliko rais wake.
 
View attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.

Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.

Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?

Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?

Tujadili.
Tunataka Rais wetu alindwe ,wewe unataka kumfanya nini? Mnataka kumdhuru Ili asigombee Urais?

Tafadhari tunaomba mama alindwe maana anatupa raha kitaani.
 
Back
Top Bottom