nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
- Thread starter
- #121
Na mashaka na mafunzo yao, wajaribu kupitia walinzi wa raisi wa mataifa mengine huwezi kukuta wana vitambi na shingo nene kama za hawa wa kwetu, wasijisahau kwa majukumu walionayo kuwa mnene sio sifa.yani hapo hata mtoto mdogo anaweza kuwatoa kijasho, sio kwa unene huo. Hapo hakuna mlinzi hapo ni makasha tuu. Mlinzi gani wa rais ananenepeana kizembe hivo kuliko rais wake.