Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Tunapunguza kibubu kimejaa ma fweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitakiwa aendelee kuelewesha wasiolewa lakini yeye katu - exclude sisi wengine kuwa "siyo walengwa.."Ila sisi wengine tumeelewa vizuri kabisa!
Nchi ngumu sana hii mkuu Tate Mkuu.Ila sisi wengine tumeelewa vizuri kabisa!
Ungetaka kueleweshwa ungehifadhi kwanza matusi yako mfukoni ukauliza kwa staha hapo ungeeleweshwa. Ukishaanza na matusi tayari umeshafunga mlango wa kueleweshwa mm si robot ni binadamu mwenye nafsi.Alitakiwa aendelee kuelewesha wasiolewa lakini yeye katu - exclude sisi wengine kuwa "siyo walengwa.."
Wanatujua waafrika ni malimbukeniSijui inatoa picha gani kwa mataifa ya wenzetu ambao huwa tu awacheka kuwa kwao hawana amani.
Kichwa kipo mburahati, ubongo upo lumumba. Hawezi kuelewaUkiona hivyo basi wewe si mlengwa so ulitakiwa ulipite kama hujaliona mkuu.
Ni mbinu ya kutafuna kodi zetu kupitia 10%Wakati sisi walipaji tunatokwa jasho na damu wao ndiyo kwanza wanaagiza mapangaboi
Ile nayo ni protoko bwasheee lazma izingatiweNi ulimbukeni na ushamba ndani yake, kutokujiamini na kujihami, njia nyepesi ya wasaidizi kupiga mpunga kwani maduhuri yanakuwa mengi zaidi, ni kutokuwa sensitive na kujali maisha ya watanzania walio wengi ambao wako duni sana, mimi si mtumishi wenu bali ni mfalme wenu kwani mm ni kila kitu? Au yote hayo na mengineyo?
Kama huajamwelewa basi kuna shida huko ubongoniUnalalamikia nini? Andiko lako halina kichwa wala miguu!!
Tuliza boli kamanda, tuendelee kuimba pambio: mama anaupiga mwingiWakati sisi walipaji tunatokwa jasho na damu wao ndiyo kwanza wanaagiza mapangaboi
Msipende kucomment kila jambo la taifa specifically security matters,ukiulizwa unajua kuwa jinsi Raisa akienda mbali karibu na mipaka ulinzi unatakiwa kuongezeka bado utakuwa bado kwenye giza na kutaka kuleta ujuaji.Ni ulimbukeni na ushamba ndani yake, kutokujiamini na kujihami, njia nyepesi ya wasaidizi kupiga mpunga kwani maduhuri yanakuwa mengi zaidi, ni kutokuwa sensitive na kujali maisha ya watanzania walio wengi ambao wako duni sana, mimi si mtumishi wenu bali ni mfalme wenu kwani mm ni kila kitu? Au yote hayo na mengineyo?
Kunywa maji kwanza mkuu utulize akili. Yeye ndiye rais wa kwanza nchi hii kutembelea kanda ya kaskazini? Hatujawahi kuona mbwembwe kama hizi zinazofanywa katika uchumi huu huu uliodorora kwa Covid 19. Akienda Mtwara jirani na Msumbiji kwenye waasi itakuwaje?Msipende kucomment kila jambo la taifa specifically security matters,ukiulizwa unajua kuwa jinsi Raisa akienda mbali karibu na mipaka ulinzi unatakiwa kuongezeka bado utakuwa bado kwenye giza na kutaka kuleta ujuaji.
Imbeni nyinyi wana ccmTuliza boli kamanda, tuendelee kuimba pambio: mama anaupiga mwingi
1. Mimi siyo mwanaccm!Imbeni nyinyi wana ccm
Kwani ulikuwa Pluto ndio umerudi??awamu ya 5 ilikuwaje au kisa ni mama mnataka kuleta vijembe vya vijiweni?!tambua Raisi ndio rai namba moja kwenye taifa sasa wewe ulitaka alindwe na masai, elewa uliza utaongezeka pale security services watapoona kuna aja hauelewi kama mipakani ni sehemu hatari zaidi ?unabidi uwe mpole ujifunze mambo kijana utakuta umesoma HKL na unataka kujibizana kuhusu security matters za raisi.Kunywa maji kwanza mkuu utulize akili. Yeye ndiye rais wa kwanza nchi hii kutembelea kanda ya kaskazini? Hatujawahi kuona mbwembwe kama hizi zinazofanywa katika uchumi huu huu uliodorora kwa Covid 19. Akienda Mtwara jirani na Msumbiji kwenye waasi itakuwaje?
Mkishindwa kuimba basi chezeni1. Mimi siyo mwanaccm!
2. Walioanzisha huo wimbo ni chadema!
Kama ni hivyo basi nyie mlioanzisha wimbo muendelee kuimba, na sisi wengine tucheze!Mkishindwa kuimba basi chezeni
Endeleeni kucheza ngoma ya gobogobo ya kumuenzi ngoosha wenuKama ni hivyo basi nyie mlioanzisha wimbo muendelee kuimba, na sisi wengine tucheze!