sheria ya usalama barabarani inataka ubandike tena kioo cha mbele kushoto ha haaaa tusome sheria japo tunapokuwa tumeama vizuri la sivyo tutapigwa sanaaaMkuu, kivipi. Siku hizi ukienda kukata Bima haupewi kile cha kubandika ila unapewa tu katarasi kubwa ya A4 inayoonesha umelipia Bima. Sasa utabandikaje?
Hahahahah uliwachezea shere *****Manjagu wao hukomaa na Stika, mimi kuna kipindi nimeshawahi kuweka Stika feki wakati sina hata Bima Manjagu wakaingia kingi miezi sita mpaka nilipopata mlungula ndio nikanunua Bima Orijino.
busara ndo inatumika ila sheria haijasemea mtu atembee na karatasi la bima ndani ya gari ila libandikwe kioo cha mbele tena kushoto, japo busara huwa inashinda sheriaUmepigwa mkuu... Mimi sio kipindi hiki tu hata kabla utaratibu haujabadilika sijawahi kubandika hiyo stickee kwenye kioo... Akitaka huwa namtolea huwa natembea nayo ndani ya gari
yani ni ka ile sheria isemayo ukikaa na mwanamke zaidi ya miaka miwili hiyo ni ndoa inayotambulika kisheria ha haaa, yani issue hapo kwa bwana mkubwa ni kubandika tuu sasa sheria ya mbunge wake haijafanyiwa marekebisho alafu unategemea nini ukikutana na askari? yani busara tuu ndo inaokoaTatizo ni kubandika stika ya BIMA kwenye kioo, NI sheria kabisa na yeye alinionyesha inakutaka kubandika stika.
Walikuwa hawaulizi Cover note wakinipiga mkono nilikuwa siwavuki ili akija anakagua Kioo anaiona Stika halafu ananiuliza kama nina maji ya kunywa nampa Buku natia gia 😁😁Hahahahah uliwachezea shere *****
hao hawakutakii mema. wangepaswa kukuonesha hiyo sheria isemavyo ka walivyosemaHiyo sheria ishapitwa mkuu. Mi nimeenda Britam Mlimani City wameniambia hivo. No need siku hizi.
hakuna hyo sheria kwamba ni lazima ubandike bro! ametumia maamuzi yake ya kila siku ..😱Wana JF
Leo nlisimamishwa na traffic, akakagua kioo na kukuta sina stika ya BIMA, alivyoniuliza nikamwambia BIMA nshakataa mtandaoni, na kwenye system ya TIRA MIMS inaonyesha gari tayari nina BIMA.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa huyu jamaa aliniandikia faini, kosa langu ni KUTOKUBANDIKA STIKA YA BIMA kwa kioo cha gari. Kwa kweli hili limenishangza sana kwamba sasa tuna uwezo wa kukata bima kwa simu, na kupata bima yako instantly .! Ila sheria za traffic bado zinatubana kwamba ni lazima ubandike stika ya bima kwenye kioo. !
Sijajua ni nani mwenye jukumu la kubadilisha hii sheria ila ni moja ya sheria ya kijinga sana kuendelea kuwepo, maana kunakua hakuna maana ya vifaa vya traffic kuunganishwa moja kwa moja na mfumo wa TIRA kama bado sheria inataka nibandike stika
Waziri husika tunaomba uliangalie hili.
Maaskar weng njaa njaa hawaijui cover note kuwa ndio bima yenyeweWalikuwa hawaulizi Cover note wakinipiga mkono nilikuwa siwavuki ili akija anakagua Kioo anaiona Stika halafu ananiuliza kama nina maji ya kunywa nampa Buku natia gia 😁😁
sheria huwa ni nzuri sana ukiielewa ila sheria usipoifahamu utakuwa kitoweo kwa wasimamizi wa sheria japo sheria zinamlinda zaidi mkosajiSasa makampuni yamebadili utaratibu kwann yeye alazimishe kutumia kanuni za zamani za kubandika stika na stika hazipo....
Ungemuuliza wakuu wako wa kazi hawajakwambia kuhusu utaratibu mpya au umeamua kuwa tapeli kwa kutumia vazi la uaskari....??!
mkuu huyo alikuwa anatengeneza mazingira ya kukupiga kwa kuamini kuwa hujui kinachoendelea. sasa hivi hata mawakala walishaambiwa warejeshe vitabu vya stika walivyokuwa wanatumia kukata stika kwa sababu havitumiki tenaWana JF
Leo nlisimamishwa na traffic, akakagua kioo na kukuta sina stika ya BIMA, alivyoniuliza nikamwambia BIMA nshakataa mtandaoni, na kwenye system ya TIRA MIMS inaonyesha gari tayari nina BIMA.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa huyu jamaa aliniandikia faini, kosa langu ni KUTOKUBANDIKA STIKA YA BIMA kwa kioo cha gari. Kwa kweli hili limenishangza sana kwamba sasa tuna uwezo wa kukata bima kwa simu, na kupata bima yako instantly .! Ila sheria za traffic bado zinatubana kwamba ni lazima ubandike stika ya bima kwenye kioo. !
Sijajua ni nani mwenye jukumu la kubadilisha hii sheria ila ni moja ya sheria ya kijinga sana kuendelea kuwepo, maana kunakua hakuna maana ya vifaa vya traffic kuunganishwa moja kwa moja na mfumo wa TIRA kama bado sheria inataka nibandike stika
Waziri husika tunaomba uliangalie hili.
waambie wabunge wafanye marekebisho ya sheria la sivyo utakuwa kitoweo kwa watu walio ka rula ila ila busara ikitumika u salamaKwahiyo tubandike karatasi lile la A4 au? Mi huniandikii hiyo faini, tutaenda polisi
Nilikuwa najua kabisa kuwa ninavunja Sheria, ila nilikuwa nauguza Mzazi na hali ilikuwa mbaya sana ila nilipozishika tu nikanunua Bima orijino nilimuomba sana Mungu nisipate ajali haswa kipindi hicho cha Bima feki.Maaskar weng njaa njaa hawaijui cover note kuwa ndio bima yenyewe
mkuu umenena vyema inawezekana kuna baadhi ya marekebisho ya kanuni ila sheria bado imesimama ka miaka yote, kwahiyo ameadhibiwa kulingana na sheria iliyopo, japo busara ingetumika aneweza kuwa salamaSheria haibadiliki automatic mkuu. Sheria inafanyiwa mabadiliko
So hapa walitumia sheria halali kabisa kunipiga fine.
Yah Mungu alisaidia maana msala wake ungekuwa sio wa kitotoNilikuwa najua kabisa kuwa ninavunja Sheria, ila nilikuwa nauguza Mzazi na hali ilikuwa mbaya sana ila nilipozishika tu nikanunua Bima orijino nilimuomba sana Mungu nisipate ajali haswa kipindi hicho cha Bima feki.
alafu mama anasema watu wapewe elimu ilihali watu tunajua sheriaNilikuwa najua kabisa kuwa ninavunja Sheria, ila nilikuwa nauguza Mzazi na hali ilikuwa mbaya sana ila nilipozishika tu nikanunua Bima orijino nilimuomba sana Mungu nisipate ajali haswa kipindi hicho cha Bima feki.
Ina maana wewe hukuona tangazo la TIRA kuhusu kusitishwa utoaji wa stika za bima? Au unataka kutetea Uzenge wa uyo askari?Sheria haibadiliki automatic mkuu. Sheria inafanyiwa mabadiliko
So hapa walitumia sheria halali kabisa kunipiga fine.
Tumuunge mkono Samia ana nia Njema ila anawaogopa wafuasi wa Ibilisi.alafu mama anasema watu wapewe elimu ilihali watu tunajua sheria
mkuu kama itahitajika watu wapewe elimu basi, kilamtu apewe leseni yake alafu hao wasimamizi wa sheria ndo waanze kutoa elimu, .mtizamo wangu ni kila mtu kwa wakati wake hata ka kapewa leseni akiwa amelala basi aone umuhimu kujifunza alama na baadhi ya sheria za barabarani la sivyo ndo tutakuwa wafuu ama walemavu kisa watu wachache ambao ni wavivu kuhangaisha bongo zao kufahamu sheria na taratibu za barabaraniMkuu upo sahihi,lakini tatizo ni kuwa wengine hawana muda huo,wanaletewa leseni nyumbani. Suluhisho rahisi ni kutoa elimu hii ya usalama barabarani nnje ya mfumo rasmi wa vyuo vya udereva.
mkuu maswala ya kisheria na kimfumo yanatakiwa kuandaliwa vyema maana kama unasema wamesema wamesitisha ni vizuri, ila je sheria imefanyiwa marekebisho? je vyombo vingine vya usimamizi wa sheria vimejiandaa kivifaa kwajili ya kuangalia kama mtu anabima ama laaa? yani vyombo vyote lazima vishirikiane na lazima kuwe na mapendekezo ya ubadilishwaji wa sheria. aliyehukumu anauhalali kulingana na sheria alotumia sema inauma maana mtu anabima tayariIna maana wewe hukuona tangazo la TIRA kuhusu kusitishwa utoaji wa stika za bima? Au unataka kutetea Uzenge wa uyo askari?
Hizo hoja za busara tutajua huko huko mahakamaniwaambie wabunge wafanye marekebisho ya sheria la sivyo utakuwa kitoweo kwa watu walio ka rula ila ila busara ikitumika u salama