Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Mans weakness is to his family,ila mkuu kuwa na familia ni jambo jema zaidi,chukua mwanamke lipa mahali tulia usifunge naye ndoa ya serikali wala ya kidini..mana wakaipata cheti hujiona wamefika
wanaume wadhaifu wapo wengi siku hizi tena wamelelewa na mama
 
Mawazo ya kimaskini kukwepa majukumu
 
Acha tu watu wanapenda kitonga wakiona watu wanamilik vitu vikubwa wanapagawa wanasahau kuwa kuna kupambana
Sio kika mtu ana maisha mazuri anapambana mkuu ,wengine wanauza ngada jombaa ishi maisha yako bwashee.😁😁
 
Sasa tuwaache wake zetu kwa sababu ya mtazamo wako kuwa tutaonekana dhaifu.???

Ngoja nikupe siri dogo. Sisi tuliooa kuna mida tunaongeaga vibaya sana kuhusu maisha ya ndoa. Lakini usitishike ukaona ndio maisha yetu. Ndoa ni tamu asikwambie mtu, japo akijitokeza mtu kusema mazuri ya ndoa yake mnaona anatamba na kusema bado ndoa changa na maneno mengine mengi.

Mwanaume anashinda kijiweni akiponda mke wake ila baadae anapitia zawadi dukani kumpelekea mke wake na maisha yanaendelea. Sasa wewe kaa ukiamini yale aliyosema halafu njoo yaanzishie uzi huku JF.
 
yote uliosema ni sahihi ila 😂😂
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Kwa mantiki hiyo watu wengi wana upeo wa juu
 
nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa🚶🏾
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Nimependa mchango wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…