Chaga oyeKuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
Kamwachia Dr Fa balaa kubwa yaani.Ndio keshazua TAHARUKI huku yeye kaendazake
Hayo ni maisha binafsi ya mtu. U Kristo wake hauhusiki na wala haimuondolei kuwa ameishi na kazaa na wanawake hao.Nimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Hao wa huyo wa pili ni wanae haswa mwendazake au ni wale waitwao wa kufikia?Yie inaonekana ndio mtoto wa mke wa ndoa ambaye aliwekwa pembeni .
Kuna kitu nimeshakisoma.huyo binti na mama yake ndio watu wa karibu wa marehemu walioongea mke huyu mwingine dr fatma na wanawe wapo kimya hawajaongeq chochote labda wana uchungu sana kwamba walikuwa karibu na marehemu
Karibu sana pale Ndejegwa leo!All in all marehemu yena wana waswanu kha...anayewafahamu mwene awalya wa chidala woose watoligwe au nijiongeze kwa marehemu spika nikale kilichobaki.
Na kuiweka hii sawa: Mbele yake, nyuma yetu. Katangulia yeye mbele, sisi tunamfuata nyuma.Huu ni upande wetu wa pili Wanaume
Maisha ya nyumba ndogo, watoto wa nje hujulikana wakati tukifa kama hivi
Hata Mimi Babu yenu, huenda mkafahamu mambo yangu mengi ya gizani, Siku nitakayo aga Dunia.
Mungu amrehemu Mhe. Job Ndugai
Mbele yetu, nyuma yake
Ndio hili linalozungumziwa katika Uzi huu. Endelea kufuatilia michango ya WanaJF kuhusu sakata hili.Wanabodi nimepatwa na kigugumizi kidogo nilipoona mahojiano kati ya mwandishi wa Global Publishers akiwa msibani nyumbani kwa marehemu Spika Mstaafu NDUGAI huko Dodoma akihojiana na mke wa NDUGAI aliyejitambulisha anaitwa Stella Mmassy aliyesema walioana mwaka 1988 huku akidai ndoa Yao ni ya mke mmoja pia hana taarifa kuwa mumewe alikuwa na mke mwingine, habari hiyo ipo Facebook. Pia hukohuko Facebook nimeikuta taarifa ya Waziri Lukuvi akimfariji mke wa marehemu Dr Fatuma Mganga ambaye siku zote nilimtambua kuwa ni mke wa marehemu Spika Mstaafu NDUGAI. Tafadhali tujuzane zaidi kuhusu swali husika
🤣😂😂Tulia basi mamsapu, mie na wewe tu,Yewoooomi🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mwaga Mtama kidogo kwenye Kuku wengi....Na alimpora mtu fulani uyo.mke
Nashukuru wawakilishi wangu walikuwepo.Karibu sana pale Ndejegwa leo!
Kwenye kikao cha mwezi wa sita tulikubaliana hakuna kutegeanaHz mboga ni nyingi tujitahid kuzichapa na kuzihifadhi
Kongole kwake spika mstaafu
Kisheria mkristo anatambuliwa kwa ndoa moja tu labda iwe imevunjwa kisheria.Hayo ni maisha binafsi ya mtu. U Kristo wake hauhusiki na wala haimuondolei kuwa ameishi na kazaa na wanawake hao.
Kikubwa wote wawe wamewezeshwa kula pesa za ofisi ya bunge hata baada ya kufa kwake
Acha utoto basi.Hapo sijakuelewa unamuonea wivu ndungai au unawaonea wivu wanawake wa ndungai , au umekarariri Mila na desturi za ukiristo, mimi ni mkiristo hizo mboga nazichapa na mbili nimezihiadhi kama wake zangu