Yes kwa Sheria za ndoa alitakiwa kuivunja ya kwanza yaani talkative mahakamani ndipo aoeKwa kesi ya ndugai kwa sheria ya ndoa ya tanzania ya mwaka 1971 kwa kuwa alikwishafunga ndoa ya kanisani mwaka 1988 na mke wa kwanza stella,huyu aliyekuwa naye mwingine dr fatma.mganga alikuwa ni kimada na sio mke.
Hivyo kwa taratibu za Marathi ya Tanzania mke anayetambulika ni huyo stela na si dr fatma.mganga
Kila mtu kaweka msiba wake. Mmoja Kongwa mwingine jijini DodomaKumbe Stella wa nyumbani kabisa tena manushi ngoja tuone, Dr Fatma kajichimbia wapi 🤔
Jf🤣🤣🤣Huyo Mungu baki nae wewe.
Ndugai zake wanawake Mungu kakuachia wewe
Wanaume tunazingua sana,,Kila mtu kaweka msiba wake. Mmoja Kongwa mwingine jijini Dodoma
Ni Kongwa, ila naona wa Global walitangulia kufika kabla ya zuioWanaume tunazingua sana,,
Kuwa na mke zaidi ya mmoja kuwa muwazi tuu, eka vitu sawa
Hapo bado hatma ya kuzikwa usikie mivutano huku na huku,
Waandishi walipozuiliwa kuingia ni wapi ? Sio kongwa huko
Aaaaaah aseeh tusubiri tuoneNi Kongwa, ila naona wa Global walitangulia kufika kabla ya zuio
Didas Masaburi alikuwa na wake wawili hilo linafahamika hadi kwao. Pia Ndugai kuwa na wake wawili sio kosa maana ni mwafrika, tusijifunganishe na makanisa kuwahukumu watu vibaya.Unakumbuka maziko Kwa aliyekuwa Meya wa Dar, Didas Masaburi na mwendazake JIwe alisema anafahamu wake wangapi wa Didas? Na huyo Didas alikuwa mkristo kindakindaki
Ndugai alikuwa anasali Angelikana sio Kanisa Katoliki.Na alikua mkatoliki safi kumbe anafata Sunna za waislam
Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
Wazinzi mnajua kujitetea.Wanawake ni wengi sana, and truly wanatuhitaji coz tumepungua sana. Having one woman isn't ideal.
Sheria inaruhusu talaka ,inatakiwa muachane kwa kufuata sheria inavyoelekeza unahakikishq unapata kabisa cheti cha talaka.Kwa hiyo kama mwanamke nifunga nae ndoa mbele ya safari aka badilika tabia ni nyamaze tu hiyo ngumu lazima nivute jiko jipya nipate amani ya moyo.
Stella Mmasi anaonekana kufanana sura na marehemu bila shaka ile kauli mkiishi muda mrefu mke na mume mnaanza kufanana imejidhihirishaKuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
Kifungu kipo mkuu.Nenda kasome bible yako.Kuna kifungu kwenye bible kinachosema ukiwa na mke zaidi ya mmoja ni dhambi?
AaahaaaHz mboga ni nyingi tujitahid kuzichapa na kuzihifadhi
Kongole kwake spika mstaafu
Alu nene na wao mwona okusachigwa mpela miyagwe dako naani?Wokugotola wayago..awo wadala kowapela idako walye..??