Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Washasema yuko likizo

Ova
 
Huyo mbunge wa Arusha sikumuelewa, kama anajitetea vile! Kijana mpendwa ni rafiki yake mkubwa na hawezi kumfanyia ubaya wowote.
 
Mimi Binafsi nimekuwa katika hali ambayo siwezi kulielezea, kwanini kiongozi mkubwa kama RC PAUL MAKONDA ametoweka ghafla bila taarifa rasmi kwa Uma?
Hili ni tatizo kubwa, wengine wanasema Anaumwa,wengine wanasema wamempiga spana, wengine Wanasema yupo likizo ofisi yake pia hautoi majibu yaliyonyooka
kipi ni sahihi ,Makonda Anumwa? Yupo wapi? kwanini msitoe taarifa kamili? "Serikali Naomba mtuweke wazi"
 
Napata mshuto mkubwa ,
How is this possible for Makonda to be silent for more than 3 weeks?
Kama yupo likizo Hizi taarifa hazimfikiii? kwanini asitoke hdharani?????
Kama kiongozi anaumwa kwani kuwajulisha Uma sio jambo la busara?
Naomba majibu kutoka Jamie forum......Hamjawahi kuacha kufuatilia.....Naomba sana nimsikie Makonda kama yupo hai au lahh....
Isije ikaw ni kama ilivotokea kwa hayati JPM....
taarifa zikafichwaaa weeehhh baadae Umauti.....
Naoomba sanaa nimekuwa na maswali mengi sana
 
Mimi ninaomba kama yupo likizo, tupeni hata mahojiano yake na nyie walau atoe neno, hauiwezekani serikali ikkqe kimya mda mrefu na watu wanaulizana, hakafu majibu yanakuja simple tu "YUPO LIKIZO" kama yupo likizo na Afya njema, inamaana haoni yanayozyngumzwa? kwanini asiseme neno lolote?
 
tulia wewe
 
Zipo pia likizo za dharura. Changamoto ni maelezo yasiyojitosheleza.
Mtu asiyefikiri vizuri aweza kutoa maelezo yanayozidisha shaka na mtafaruku zaidi. Hizi ni zama za watu wenye fikra pana na weledi kuongoza au kutumika kueleza vitu.
 
ina maana akiwa likizo haingii ata grocery kunywa K-VANT ili japo 2mwone?
 
Kwasasa chadema mnacheza ngoma ya makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…