mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Washasema yuko likizoHili nijambo muhimu na linalo leta hisia Kali kwenye mioyo ya watu. Jambo ni moja tu makonda yuko wapi?
Wako wanao tamani apotee kabisa. Wako wanaoomba hata kusikia tu makonda yuko wapi
Tu naomba familia ya makonda watokee watutulize mioyo yetu. Au viongozi waselikari watokee waseme makonda yuko wapi. Au makonda mwenyewe ajitokeze aseme makonda yuko wapi. Makonda tuondolee hofu
Ova