Tuko wengi sana. Hesabu hata wachangiaji wa thread hii wanaotaka afe dhidi ya nyinyi mnaompendaWatanzania wangapi wanaomchukia ?! Kama wewe unamchukia ni wewe kwa sababu unazozijua ila usidanganye kwamba kila unayemchukia watu wengine pia wanaomchukia!
Sasa uyo pengo ndio nani 😁😁Mtu ashikwe kichwa na kadinali pengo, afu atikiswe na sumu nefaa
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3053816View attachment 3053817
Msisitizo kwenye sentence ya mwisho umebeba ujumbe mzito sana!
Kwani mtu akiwa fiti ndio hawezi kufa ghafla?Kwani kwa magufuli
walisemaje?
"Yuko fiti anapiga kazi " haya kiko wapi?
Hata hili la makonda bora wangekaa kimya
Chanzo cha uhakika ni yeye mwenyewe labda ajitokeze akiwa fit afute hizi stori.Nasubiri kauli ya Majaliwa,ndo Chanzo Cha uhakika
Mkuu wape vidonge😂 😂 😆 😂 😂
Yatakuwa yanawaumbua matanzia
Anyway apumzike vema kwenye likizo yake
😆😆😆😆
Hata wa Muhimu Mmoja sasa Kalala mazima Majaliwa alituambia yupo anachapa Kazi, kumbe tayari yuko Mochwari.Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3053816View attachment 3053817
Mbona yeye alikataa Lissu asiombewe? Tuache unafiki.Kuombewa sio kitu, hata JPM aliombewa.
Likizo huwa ni lazima ianze baada ya muda gani?Kuna watu ni wafukunyuku kweli kweli ,wanauliza ili mtu apate likizo si kuna kipindi flani cha mda angalau awe ametumika ili apewe hiyo likizo mbona hata hajatumika hapo Arusha haja kaa. All in all mimi binafsi ni jambo jema kusikia kwamba yupo vizuri na yupo likizo .
Likizo zipo nyingi mojawapo ni sick leaveNingeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?
Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3053816View attachment 3053817
Akiamua aliyemuumba ni sawa, ila siyo wewe mfu wa badayeTuko wengi sana. Hesabu hata wachangiaji wa thread hii wanaotaka afe dhidi ya nyinyi mnaompenda