Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sorry mkuu sikujua kama hauko aware na siasa za huyu mtu, in short Hilo jambo alilofanyiwa ni mambo anayowafanyia wenzake kwa muda mrefu... Sasa yeye yampate hayo kwa Nini tumuonee huruma.
 
Hiyo ni kauli ya Katibu tawala wa mkoa wa Arusha alipoulizwa kuhusu Aliko Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Anachokisema kina ukweli au naye ni miongoni mwa wale viongozi waongo?

Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo ni kauli ya Katibu tawala wa mkoa wa Arusha alipoulizwa kuhusu Aliko Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Anachokisema kina ukweli au naye ni miongoni mwa wale viongozi waongo?
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Atoke hadharani aseme Yuko wapi?
 
Bora hata wangempa likizo imamu hussein kuliko kumfanyia ukatili ule😭
 
Sijaelewa hata kidogo
 
Hili nijambo muhimu na linalo leta hisia Kali kwenye mioyo ya watu. Jambo ni moja tu makonda yuko wapi?
Wako wanao tamani apotee kabisa. Wako wanaoomba hata kusikia tu makonda yuko wapi
Tu naomba familia ya makonda watokee watutulize mioyo yetu. Au viongozi waselikari watokee waseme makonda yuko wapi. Au makonda mwenyewe ajitokeze aseme makonda yuko wapi. Makonda tuondolee hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…