Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Sizani kama utajibiwa.Nyerere kipindi cha uongozi wake ndio alijenga miundo mbinu mingi ya umeme ikiwemo bwawa la Mteta, Nyumba ya Mungu pia angeweza kujenga huu mradi lakini hakujenga sababu umeme ambao ungezalishwa ungezidi mahitaji ambayo yalikuwepo..
Tulikuwa na wakoloni wajerumani na Uingereza kwanini hawakujenga miradi kama hiyo unayosema.
Mimi ningekuwa rais ningewapa umeme wa nuclear, jua na gesi miaka 20 iliyopita. Nisingeruhusu Selous kuguswa kabisa na shughuli za uharibifu wa mazingira kama hizo.Usisahau kuwa huu mradi wakoloni haohao unaowasifu waliupinga sana
Baadhi ya nchi na mashirika ya Ulaya yalipinga au kuonyesha wasiwasi kuhusu Bwawa la Mwalimu Nyerere hasa kwa sababu za mazingira na uhifadhi wa wanyamapori
Mchonga alikuwa na maono tangu 1975, dikteta akawa na uthubutu akaweza kutekeleza
Kwa nini halikujengwa wakati wa Mkapa au JK wakati ambapo kulikuwa na mahitaji makubwa na shida sana ya umeme?Nyerere kipindi cha uongozi wake ndio alijenga miundo mbinu mingi ya umeme ikiwemo bwawa la Mteta, Nyumba ya Mungu pia angeweza kujenga huu mradi lakini hakujenga sababu umeme ambao ungezalishwa ungezidi mahitaji ambayo yalikuwepo..
Tulikuwa na wakoloni wajerumani na Uingereza kwanini hawakujenga miradi kama hiyo unayosema.
Lakini wewe una matatizo! Una roho ya Kwanini katika kila andiko lako! Siku nyingine kuwa positive acha tabia za kichawiWakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Mikataba mibovu iliyoingia kuanzia kipindi cha Mwinyi, watu waliweka mbele maslahi yao badala ya maslahi ya Taifa.Kwa nini halikujengwa wakati wa Mkapa au JK wakati ambapo kulikuwa na mahitaji makubwa na shida sana ya umeme?
Ondoa nuclear hapo, mengi yanahusika sio tu kujenga kinu ukajua umemaliza kila kituMimi ningekuwa rais ningewapa umeme wa nuclear, jua na gesi miaka 20 iliyopita. Nisingeruhusu Selous kuguswa kabisa na shughuli za uharibifu wa mazingira kama hizo.
Kama CCM fedha ya kujenga bwawa iliwashinda ndio wangeweza nuclear plant?Hata hivyo watawala wako hawakushindwa kujenga miaka yote hiyo kwa sababu mradi ulipingwa na wakoloni bali kwa sababu hawakuwa na pesa na pia maadili ya mafuta walivyokuwa wanafanya TANESCO. Kama ingekuwa ni wakoloni wanawaamulia mambo CCM leo hii tungekuwa na demokrasia inayopambaniwa na hao wakoloni.
Hakuna sehemu nimeandika wakoloni wazungu wamezuia, hata kama wangezuia wa kulaumiwa ingekuwa sisi. Ethiopia kajenga bwawa lake bila kujali vitisho vya Misri iweje sisi tuwalaumu wazungu.Huo ndio ukweli, msiwasingizie wakoloni wazungu ndio waliwazuia kulijenga.
Hakuna roho, hakuna uchawi.Lakini wewe una matatizo! Una roho ya Kwanini katika kila andiko lako! Siku nyingine kuwa positive acha tabia za kichawi
Una roho ya kichawiHakuna roho, hakuna uchawi.
Hayo ni maneno na misemo tu ya taarabu ya Waswahili akina Hadija Kopa wenye low IQ.
Ila hii nchi alafu watu wanaimba tujivunie sijui nini, ukichunguza faida hasa ya kuwa Mtanzania ni kama haipo, kama mpaka walifuta bima za watoto kuna nini tena hapo!Tutawauzia nchi majirani tupate fedha za kigeni😁
Huo sasa utoto
Miradi mingi lakini maendeleo ya watu ni zero.hatuoni kabisa umuhimu wa hizo miradi why.a) Miradi ni mingi
1. Hale 1964
2. Nyumba ya Mungu 1965
3. Kidatu 1970
4. Mtera 1979
5. Kihansi 2000
6. Rusumo 2025
7. JNHPP 2026
8. Maragarasi unaendelea kutekelezwa.
b) Bado tuna miradi ya umeme wa jua
1. Kishapu I
2. Kishapu II unaendelea kutekelezwa.
c) Tuna umeme kutoka chanzo cha Songas kusini. Na vyanzo vingine vingi...