Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Gharama zipo juu sana watu wananunua umeme wa kwao kuna VAT hizo nchi zingine hakuna makato makato kama huku sijui Ewura 1% ya nini?Miradi mingi lakini maendeleo ya watu ni zero.hatuoni kabisa umuhimu wa hizo miradi why.
Vipi kama ungekuwa Rais mwaka 2015Mimi ningekuwa rais ningewapa umeme wa nuclear, jua na gesi miaka 20 iliyopita. Nisingeruhusu Selous kuguswa kabisa na shughuli za uharibifu wa mazingira kama hizo.
Hata hivyo watawala wako hawakushindwa kujenga miaka yote hiyo eti kwa sababu mradi ulipingwa na wakoloni bali kwa sababu hawakuwa na pesa na pia maadili ya mafuta walivyokuwa wanafanya TANESCO. Kama ingekuwa ni wakoloni wanawaamulia mambo CCM leo hii tungekuwa na demokrasia inayopambaniwa na hao wakoloni.
Kwa sababu CCM ni mediocres, Huko Mbeya kwa machwa kina ChoiceVariable na Stuxnet wanajenga barabara ya km 30 tu karibia miaka 5 sasa hawamalizi!Miradi mingi lakini maendeleo ya watu ni zero.hatuoni kabisa umuhimu wa hizo miradi why.
Ningeirudisha mikononi mwetu gesi tuliyoambiwa na jiwe sio ya kwetu tena ili tuzalishe megawatts 10,000 za umeme huku tukizalisha maelfu ya ajira nzuri za kudumu na kufungua uchumi wa mikoa ya Kusini iwe kama Qatar na Dubai.Vipi kama ungekuwa Rais mwaka 2015
Kwa hali ambayo umeikuta Tz, shida za umeme na wewe ndio Rais sasa kuanzia 2015 hadi the next 5 years ungefanya nini kuongeza uzalishaji wa umeme
This would cost over $10 Billions to build the plant and over $5 Billions annually for maintenance. Kitu ambacho ni kigumu kwa Tanzania ya 2015 kufikiria kukifanyaNingeirudisha mikononi mwetu gesi tuliyoambiwa na jiwe sio ya kwetu tena ili tuzalishe megawatts 10,000 za umeme huku tukizalisha maelfu ya ajira nzuri za kudumu na kufungua uchumi wa mikoa ya Kusini iwe kama Qatar na Dubai.
View attachment 3655429
Kutaka kununua umeme Ethiopia inaweza kuwa kwa ajili ya manufaa ya watu wachache kwenye system. Huenda wameona kuna namna rahisi ya kuiba hela wakianza kufanya hivyo maana CCM na ufisadi ni kama pete na kidolenajiuliza kwanini walitaka kununua umeme Ethiopia? Jana walikuwa wanasifia mradi utaondoa changamoto zote za upungufu wa umeme. Hapa kuna uongo mwingi bado ile ya kushusha gharama za umeme
Baada ya miaka mitano huu umeme utakuwa hautoshi tena,This would cost over $10 Billions to build the plant and over $5 Billions annually for maintenance. Kitu ambacho ni kigumu kwa Tanzania ya 2015 kufikiria kukifanya
Cost ya dam ya Mwl Nyerere ni just $2.9 Billions na 2115MW ni just enough electricity for Tanzania kwa sababu kuna vyanzo vingine vya umeme so total itakuwa 4646MW nchini, wakati demand yetu sisi ni around 2000MW
So it was a wise decision kujenga Mwalimu Nyerere Dam kwa kuangalia cost, mahitaji na hali ya uchumi wa Tanzania
Wakina Nyerere walikuwa na kiherehere sana cha kupigania uhuru wakati hakuna kitu venye wanaweza kufanya zaidi ya makelele na hotuba mfu.Sana, kama wangekaa miaka 20 zaidi leo hii tungekuwa mbali sana.
Wakoloni wangebaki wangeijenga nchi vizuri sawa ila kwa ajili ya watu wao tu. Sisi on the other hand tungekuwa na maisha magumu kama wasouth Africa
Tennessee Valley Authority walijenga mradi mkubwa sana wa Umeme miaka ya giza.Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Tuache kusingizia watu wengine.Let us take full respondibility of our actions.Hao communists walikua wametushika akili??Sisi akili zetu zilikua wapi??Mbona China wao wapo na hizo siasa, tangu kipindi hicho lkn wamepiga hatua.
Haya vita vya kijinga tulivyoendekeza vyote ni shida ya communists??Uganda hapo, Kenya hawakua wajamaa wale wanatofauti na sisi??
Waafrika ni kama hatuna akili, hatuwezi jiongoza.
South Afrika baada ya weusi kushika madaraka, unaona kilichotokea??Hapo napo tuwalaumu comnunists.??Congo mpaka leo hawaelewani vizuri, madini yapo, ardhi ipo lkn maskini, Mobutu alikua ni communist na wenzake baada yake??Sudan wanatwangana mpaka leo, kuna communists huko.??
Haya Tz CCM wanavyoziba maskio na kuendekeza ubabe, kujimilikisha nchi, kukataa kuleta katiba bora,huku kukiendelea na mianya ya rushwa, ubinafsi, wizi, matumizi mabovu ya pesa, kutokuwepo kwa uwajibikaji- tukiendelea kuwa maskini, baada ya miaka 50 ijayo ambayo kwa siasa hizi za ccm, bado tutakua nyuma..NAPO TUTASEMA COMMUNISTS????Sisi watu weusi, TU WABINAFSI, hii dhambi itaendelea kututafuna mpaka milele, na tutaendelea kuwa wamwisho - just watch wanachokifanya CCM - eanatuamimisha tunaendelea na makofi kila siku, baada ya miaka 30 kutoka sasa, nchi za wenzetu zitakua mbali zaidi, then tutaanza kulaumu watu wengine.
Unafananisha immigrants na local South Africans?siyo kweli isitoshe kama south afrika maisha ni magumu kwa nini waafrika wote wanakimbilia huko? nitakupa mfano wafanyakazi kwenye mashamba miaka ya 1900 huko alikuwa analipwa kati ya rupia 15 mpaka 20 /mwezi leo hii sawa na shilingi laki 3 (300 000) leo hii hkaulize wakulima wa katani kwa mfno mo anawalipa shilingi ngapi kwa mwzi wengi wanaondoka na laki 1, unajua ni kwa nini tanga korgwe ghandeni kuna wahamiaji wengi kutokea mikoa mingine walikuja kufanya kazi kwenye mashamba ya wakati wa wazungu.
hivyo kusema wazungu wangbakia maisha yangekuwa magumu ni propaganda mliolishwa na communists, waafrika wote wanakimbilia south afrika leo hii mpaka wanafurumushwa kwa nini kama maisha south afrika ni magumu klk tanzagia au nigeria? ...
Sema kwa kuwa tulikuwa tunataka kuwa industrialized nation, napata point yako sasa kuwa tungejenga pant kubwa zaidi ya umeme. All in all sijui kama hilo litatokea soon maana nchi yetu ndio imeshikiliwa na viongozi kama Samia, sijui kama 2030 tutapata better person ila akiwa walewale level ya akina Samia hakuna cha maana kitakachoendeleaBaada ya miaka mitano huu umeme utakuwa hautoshi tena,
Tutafanyaje ??
Hiyo gesi kwa watu serious kila miaka miwili wangeweza kuwa wanaongeza megawatts 1,000.
Basi tungepigania kuwa na haki na usawa tu na watu weupe badala ya kuwaondoa kabisa na sisi kuchukua usukani wakati tulikuwa hatuwezi. South Africa leo hii ndio nchi pekee yenye kinu pekee cha nuclear barani Africa kinachozalisha umeme mkubwa karibia sawa na hili bwawa na kimejengwa na makaburu.Wakoloni wangebaki wangeijenga nchi vizuri sawa ila kwa ajili ya watu wao tu. Sisi on the other hand tungekuwa na maisha magumu kama wasouth Africa
Unafananisha immigrants na local South Africans?
South Africa ina opportunities nyingi ila maisha ya wasouth Africa ni magumu. I don't know how to explain this ila immigrants wana chance kubwa ya kufanikiwa kwenye nchi za watu zenye opportunities kuliko locals because of ambition
Ni kama Wachina walivyojazana hapa Tz na wanaendelea kuja kwa wingi na wanafanikiwa kuliko wazawa. Utaanza kusema Tanzania ina maisha mazuri kwa sababu wachina wanajazana huku?
View: https://youtu.be/Zc1a6V7rs8M?si=LHZh8dVi1rTeiFj2.
.
Pili Africa ina sababu nyingine kabisa za kuwa masikini na sio communism kama the way unavyodie hard kulazimisha kuwa ndio sababu. Kama shida ni communism basi Kenya na Uganda zingekuwa kama Japan leo hii, na China ingekuwa masikini
Jamaa alikuwa anajua kupiga hotuba zenye dawa ya usingizi mkaliWakina Nyerere walikuwa na kiherehere sana cha kupigania uhuru wakati hakuna kitu venye wanaweza kufanya zaidi ya makelele na hotuba mfu.
Ndio maana nakuambia huwezi kufananisha immigrants na local peoplelkn haujaelezea bado, kama south afrika maisha ni magumu kwa waafrika (klk kwao walikotoka ) how is it that wote bado wanakimbilia huko? kwa nini wanigeria hawakimbilii tanzagiza au kenya labda? iweje mnigeria au ghana asafiri thousand of kms kwenda south afrika kama maisha ni magumu kwa waafrika? kwa nini wasiende guinea, gambia, moroko, algeria, egypt, sudani, mali au hata ethiopia? kwa nini south afrika ambako ni mbali sana tu? ...
Ni kweli ma dhumuni ya kujenga mabwawa hayo yote ilikuwa kupeleka umeme south Africa kwenye migodi mbalimbali na ndio ipo hivyo hadi wanasupply umeme uko.Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !