Mpango wa kununua umeme wa Ethiopia mbona bado uko pale palenajiuliza kwanini walitaka kununua umeme Ethiopia? Jana walikuwa wanasifia mradi utaondoa changamoto zote za upungufu wa umeme. Hapa kuna uongo mwingi bado ile ya kushusha gharama za umeme
Wa tag tanesco wapo humu watakujibu.Hii JNHPP mbona hakuna miundo mbinu ya kusambaza umeme kutoka kwenye bwawa? Au sijajua bado yanayoendelea?
Tundulisu anakuja kakaAtazaliwa mwingine lini?
Inaonekana unawapenda sana; sasa sijui ilikuwaje wakakuacha huku.Mipango miji, reli, mashule
Ni vizuri hukujuwa mapema; kwa sababu ungejuwa ungejiona mwenyewe kuwa duni zaidi ya wao.Ndiyo, Leo ndio ninajua kuna mabwawa ya megawatts 2,000 yaliyojengwa Africa miaka 60 iliyopita.
Na bei juu.
Ni sahihi mkuu, je ule wimbo wa uchumi wa gas, sijui umeme wa gas uliishia wapi? Kumbuka chama hiki hiki kilisema 2013/14 tatizo la umeme wa maji ni mabadiliko ya tabia nchi, na Magufuli alikuwa humo humo kimya kabisa. Na walisema umeme wa gas utazalisha 5,000m yaani mwingi kuliko huu wa maji wa 2,115m.
Je tungetumia hizo 7.4t tusingeweza kupata umeme mwingi kwenye bomba la gas ambalo tayari liko hapa Dar?
Hakika, kuliko maCCM.colonialists walikuwa na long term vision.
Thermal power plant ina gharama gani ya uendeshaji mkuu?Hakuna maendeleo ya viwanda bila nishati endelevu na ya uhakika. Kujenga hili bwawa, tumechelewa sana. Tulitakiwa kujenga miaka ya 80.
Hizi thermal power plant haziwezi kukwepeka, ila zina gharama kubwa sana za uendeshaji.
Namsifu sana marehemu Rais wetu JPM kwa uthubutu wake. Bila kuwa na maono na kuamua kutosikiliza makelele ya watu, ikiwemo hao wanaozindua mradi mara mbili mbili, hilo bwawa lisingejengwa
Gharama za uendeshaji wa thermal power plant ni zipi mkuu?Thermal power plants kuendesha zina gharama kuliko hydro power plants.
Na idadi ya thermal power plants ili upate hizo Megawatts nayo ni issue nyingine.
Gharama za mwanzo zilikuwa chini na bwawa lilikuwa linajengwa. Hizo trilion saba kimetokea nini?
RIP JPM. alipenda kusema value for money.
Ukishaona mradi wa miaka 3 unalaa miaka sita, unategemea nini?
Na huko ndiyo Dunia ilipo, kwa sababu ya climate change haya mabwawa ni version ya nyuma sana. Watu wapo kwenye nuclear huko.Wakoloni wangeondoka Tanganyika 2000 leo tungekuwa na vini vya umeme wa nyuklia.
kwa kweli mazee tusijivunie tu kwamba tumefanya jambo kubwa. Tujiulize pia kwa nini jambo hili limechukua muda mrefu kufikiwa, ni fursa zipi tulizopoteza njiani, na ni hatua gani tunapaswa kuchukua ili miaka 30 ijayo tusije tukasherehekea mwaka 2050 kwa kujenga kile ambacho wengine walishakijenga karne iliyopita.Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Thermal power plant ina gharama gani ya uendeshaji mkuu?
kwa kweli mazee tusijivunie tu kwamba tumefanya jambo kubwa. Tujiulize pia kwa nini jambo hili limechukua muda mrefu kufikiwa, ni fursa zipi tulizopoteza njiani, na ni hatua gani tunapaswa kuchukua ili miaka 30 ijayo tusije tukasherehekea mwaka 2050 kwa kujenga kile ambacho wengine walishakijenga karne iliyopita.
Kwa kweli wakoloni walitupenda sana,umesahau na Reli ya Kati na TAZARAa) Miradi ni mingi
1. Hale 1964
2. Nyumba ya Mungu 1965
3. Kidatu 1970
4. Mtera 1979
5. Kihansi 2000
6. Rusumo 2025
7. JNHPP 2026
8. Maragarasi unaendelea kutekelezwa.
b) Bado tuna miradi ya umeme wa jua
1. Kishapu I
2. Kishapu II unaendelea kutekelezwa.
c) Tuna umeme kutoka chanzo cha Songas kusini. Na vyanzo vingine vingi...
Una uhakika?Kwa kweli wakoloni walitupenda sana,umesahau na Reli ya Kati na TAZARA
Usione aibu kupongeza jambo zuri . Acha porojo za wakoloni wewe pongeza tu hata kama uliusagia kunguni.
Hili Taifa tunawatu wengi sana wasio litakia mema. Tusijidanganye uzalendo ni kila kitu katika nchi. Huwa tunajidanganya kwenye Tv lakini ukienda hata nchi zilizoendelea lazima uwe na uzalendo kwa nchi ndipo uweze kupewa uongozi.
Ingekuwa rahisi kujenga hili bwawa kila nchi ingekuwa nalo.
Sio uko pale pale.... Hata Sasa hivi umeme unanunuliwa kutoka Ethiopia kupitia KenyaMpango wa kununua umeme wa Ethiopia mbona bado uko pale pale
Kwani unataka kuleta ujumbe gani haswaa?Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !