walete chanjo ya covid 29, bomoa vituo vya afya nchi nzima, rudisha makao makuu dar, rudisha wafanya kazi hewa na walipwe mishahara
 
Legacy ya mtu inafutwaje, kwa mfano,
tuseme ni kwa kusema hakuwahi kuzaliwa, kuishi na kufa au! Legacy ya mtu ikihusishwa na material objects si hai tena mitume na manabii, mfano Yesu na Mohammad SAW, wana legacy ya ajabu bila material objects. Mafarao wa Misri waliacha mapiramid ya ajabu but , hawana legacy ya maana zaidi ya kuitwa firaun.
Ujuzi, imani, msamaha, upendo, huruma ndivyo hujenga legacy ya mtu.
Chuki, hasira, uonevu, mabavu, sifa, ukatili humbomoa mtu hata a kiumba mbingu.
 
N Nyerere hakumbukwi Kwa kujenga reli ndefu ya tazara na bomba refu LA tazama pipeline .Bali tunamkumbuka Kwa kutuunganisha wa Tanzania kuwa wamoja ,kutumia lugha moja tunaishi kama ndugu.na hili Galina technolojia Mpya ya kulibadilisha.
 
Utakayefukiwa ni wewe, yeye amehifadhiwa
 
N
Nyerere hakumbukwi Kwa kujenga reli ndefu ya tazara na bomba refu LA tazama pipeline .Bali tunamkumbuka Kwa kutuunganisha wa Tanzania kuwa wamoja ,kutumia lugha moja tunaishi kama ndugu.na hili Galina technolojia Mpya ya kulibadilisha.
Lisu anakumbukwa kwa MIGA
 
Sisi Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.

Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.

Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.

Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam.
 
Very well said.
 
uchochezi
 
Kwani legacy Ni nini? Au unaiga tu kuandika kama wanavyoandika wengine? Legacy ni mambo mema ambayo mtu ameyaacha kwa kizazi kijacho!!

Kujenga madaraja na majumba ni majukumu ya Rais anayoyafanya kutekeleza ilani ya chama chake.

Magufuli ameacha nini? Ameacha wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, umalaya kwa akina Jokate na Kairuki, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.

Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari.

Nani atanikamata leo nikisema Magufuli alikuwa muuaji? Hakuna kwa vile Rais SSH anakubali kukosolewa kwa misingi ya Sheria. Ila wapumbavu kama wewe bado wappo
 
Legacy ya wakala wa sheitwani magufuli haiwezi kufutika, iko palepale labda kama hujui maana ya neno LEGACY! Legacy ya nduli Magofongo ni UDHALIMU, UPORAJI, DHULUMA, MAUAJI, UFISADI, KUSIGINA KATIBA, UKATILI na maovu mengine yote unayoyafahamu chini ya jua! Hayo hayatafutika wala kusahauliwa kamwe na ndiyo yaliyomuingiza jehanamu kwenye moto wa milele!
 
Wanawezaje kuifuta Legacy ya JPM wakati;
i) Wao kila wanapoleta uzi wanamzungumzia na kudumisha legacy.
ii) Wanaotolewa na kuteuliwa wapya wote waliandaliwa na JPM.
iii) Kila anayezungumzwa humu analinganishwa au kutofautishwa na JPM.

Legacy ya JPM itadumu na kudumu kadri Mama Tanzania atakavyodumu!!!
 
Anajua Legacy ni vitu! Nanihii kweli huyu
 
Wapuuzi hao, hawatafanikiwa
 
HAKUNA MZOGA WENYE THAMANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…