Hao uliowataja kwani wako bungeni?mbona hata Ndugai anapinga hiyo yote sasa hivi?
 
MKUU,
HAWA WANAFIKI WATAUMBUKA TU, TIME WILL TELL. WATU TUNAJIULIZA, KWENYE OFISI YA MAKAMU WA RAISI KULIKUWA 100% free from yanayoongelewa? Ndo utajua unafiki wa hii report na watu waliomo nyuma yake.
Makamu wa Rais has no say to one man army
 
CORONA BABA LAO.......
 
Hii ina viongozi wa hovyo kweli. Eti mtu spika kabisa anasimama bungeni anasema ni mda sasa wa kuendeleza mradi wa bagamoyo. Kisa keshapewa rushwa na anajua ndio mda wake wa mwisho so keshapata kiinua mgongo kwa wachina. Hawa viongozi wanadhani hii tanzania bado ya wajinga tu
 
Acheni kupanic nyie wasukuma!!!!

Zama zenu zimezikwa TOCHa.

Saiv fungeni bakuli zenu na kutulia.
.Tumeelewanaaaa!!!!?

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Daaaah raha sana aiseee😀😀😀
 
Unajua maana ya Legacy? Legacy ya ukweli iliyoachwa kamwe haifutiki kwa maneno. Ndiyo maana hapa duniani kuna watu wamefanya mambo makubwa 100 yrs ago lakini bado wanakumbukwa leo. Mzee Mwinyi ana usemi wake kwamba maisha ya mwanadamu hapa duniani ni hadithi, hivyo ni vyema mwanadamu hapa duniani ukawa na hadithi nzuri ili uweze kukumbukwa.
 
Kwa kweli.........
 
Mtu mwenye akili fupi kama panya anapokosa hoja za kutetea hukimbilia kwenye ukabila.
Leta hoja siyo kupiga kelele kama mtetea anataka kutaga.
 
Alishawahi kusema tangu zamani mlimbishia tatizo mnakuja Juz tuu JF
 
Well said kaka.. This image ya mzee watu wanaojaribu kui print tofauti na ile tunayoijua ni ngumu sana kuamini maana ukiangalia miaka mitano tulioshi na Jiwe unaona kabisa ni mtu anejali na kuipenda nchi yake, anapinga na kukasirishwa sana maswala ya uzembe na ubadhirifu then then again kuna hii report ya CAG ambayo inachanganya sana
 
CCM wanaweza kutoka madarakani kwa nguvu ya Umma hasa wakati huu ambao, wanajaribu kupindua meza. Ninyi ipindueni kama hamjui hasira za wananchi. Msijione mko madarakani hadi 2025.
Nasema navyouona upepo ulivyo kwa wananchi wa hali ya chini, itakuwa kama walivyovyamia pale uwanja wa ndege, wa Julius Nyerere.
Rais wangu Samia Suluhu, kuwa makini sana. Unaweza jikuta usimalizie hiyo miaka. Someni mioyo ya wananchi walio na hali ya chini. Na safari hii hakuna hatakae lazimishwa ingia barabarani. Hii yaweza tokea tu.
Mtakataa lakini ukweli haufichiki, Magufuli kaondoka ila ameeacha wafuasi wengi sana. Msemeni vibaya, kwa vijembe na kusanifu.
Ila mkicheza kidogo! Mtaamsha hasira za wananchi zilizo mioyoni mwao. Msidhani ni wajinga, wanawachora tu. Nyie tambeni!
 
Wanao ua legacy ya JPM waache waruke ruke, waongee meeengi. Ila sisi tuta judge output yao. Miaka 4 siyo mingi, ni kesho tuu inausha. Nawaomba wote ambao mna damu ya uzarendo na mnakubaliana na mambo aliyo yafanya Jemedari wetu JPM, kaeni kimya, wala msibishane maana benchmark iliyopo inatosha kwa kuwapima.
 
Haya ni maneno tuu, sisi tunaangalia output . Kelele zenu hazitanunua ndege, hazitajenga SGR, hazitalipa mishahara wala kufua Umeme. Na mda mnao mdogo sana kukamilisha hayo.
 
Hivi unajua hakuna aliyeijenga nchi hii kama mjerumani.legacy yake iko wapi
Hivi unajua kaburu alivyoijenga south afrika au hujui
Hayo madude yamejengw kwa damu na machozi ya watanzania
Baya moja hufuta mazuri 100
Kaka 2025 ni kama kesho. JPM kaacha benchmark, ole wao wasimalize hizo projects alizoanzisha.
 
Hiyo ripoti imesukwa ila kujichanganya tutawavua nguo mpaka watakuwa hawatoki hata kuhutuhubia wasituone tumekaa kimya wakadhani sisi wajinga.
Upuuzi mtupu kutuambia kwamba HEP haina msaada.
SGR ni hasara, ATCL ni hasara...
 
Acha uzwazwa we msukuma ,miradi yake una maana gani Sasa, unataka kutuambia alitoa fedha mfukoni kwake na kutupa hiyo miradi?

Kwa mawazo haya acha kabila lenu liendelee kuitwa washamba sana.

Nyongeza ni kwamba huyu jiwe amewaharibia pakubwa sana nyie akina ngosha ,hamtakuja pewa tena uongoz wa ngaz ya juu ,maana ushamba wenu wa kuwaonea wake zenu mnauleta had kwenye kuongoza nchi.

Yaan umekaa unalazimisha mtu aheshimike kinguvu ,tokea Lin heshima ikalazimishwa ? Mara mirad ya fulan as if alitoa hela mfukon mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…