Kumbukumbu nzuri kwenye maisha yangu(Baba yangu)

Ubaya gan huo unaweza ku share Kwa faida ya vizazi vijavyo.....
Nadhani fuata hii link utaona nilichoki share hii ni page ya 13 endelea mbele au kama una muda unaweza kusoma page zote 44 ni uzi wenye kufarijiana sana na kukumbushana kwenye haya maisha Kuna up's and down na mambo usiyoyatarajia yanaweza kukupata. Endelea kwenda mbele huenda ukaiona post yangu
 
Polesana
 
Yah ni kweli kabisa kunawakati inakulazimu kujiongoza lakini sio wote wanaweeza Hilo na ukiweza lazima upitie wakat mgumu kupuuzia hisia mbaya Ili ubaki kwenye mstari
 
Asante sana
Kumbukumbu za utoto nzuri na huwa zinadumu moyoni wakati wote ukitaka kujua furaha za watu na maumivu Yao wengi walipitia hayo utotoni na huyakumhuka daima
Mungu akuongoze uendelee kuwa baba Bora natumaini kupitia wew wanao nao watakuwa walezi wazuri na utakuwa ukoowako wenye upendo na furaha
 
Natamani watotowangu wapate baba mzuri kama alivokuwa babuyao [emoji3059][emoji3059][emoji3059]


watu wengi sio wanaume kwa wanawake huwa wanafeli kwenye ndoa zao kwasababu ya hiki kipengere.
.
unakuta mtu anaolewa huku akiwa na matamanio ya mumewe awe kama baba yake matokeo yake anayemuoa asipokuwa vile alivyozani basi humo ndani ugomvi unaanza kwa speed ya 5g.
.
kumbe unachotakiwa kufanya unapoa au kuolewa ni kuwa ndoa yako ni ndoa yako na ndoa ya wazazi wako sio kama ndoa yako
 
Uko sahihi lakini sijazungimzia ndoa nimezungumzia malezi ya watoto mambo ya ndoa hayo ni mengine wapo watu wanaishi hawana upendo lakin wanalea watoto wao vizuri tu kunawengine wametalikiana lakini kilamzazi anawajibika Kwa nafasi yake
Na Kila unachoweza marazote huja so acha niwaze mazuri Kwa wanangu hata wakipata baba mbaya iwe Kwa Mungu kutaka iwehivo sio Kwa uwezowangu

Ulitaka niwaze mabaya tu na wkat sikuyapitia kuna ambae hatamni mazuri?
 
Reactions: _ly
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…